Home
Unlabelled
Man U 2 vs Bwawa 1
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
I HATE MAN U ALSO I'M THE LIVERPOOL FAN.
ReplyDeleteANKAL kweli una mapenzi na liverpool ila bao la pili jamaa hajaotea kabisa yaani katoka nyuma na kuwapita mabeki wetu la kwanza no doubt kua wamepewa.
MOTO LIVERPOOL.
poleni sana wadau wa bwawa la maini,ligi tebo haiongopi,ndio maana mko nafasi ya ngapi sijui!!!penati ya kawaida tu jifunzeni kukaba sio kuvuta jezi na mikono.
ReplyDeleteANKAL pole sana, Ila naomba ukubali tuu, Man U chama kubwa,Visingizio vya nini mkuuu, bwawazzz mwaka huu hakuna kitu.Go man u go man u
ReplyDeleteMdau wa man u
usiseme la kupewa hao wanajulikana ni wazee wa marefaaa...bil marefa hoiiiii kabisa....ila sikuizi uweki mbwembwe kama mwanzo kwa kuwa mmedolola......liverrrrr ziii bwawa la figooo i hate man u kama simbaa ya tanzania Arsenal oyeeee...
ReplyDeleteSIMBA anapokuwa na njaa kumbe ndo anakuwa kama hv...Ndo mana jana katafuna wa2 Zimbabwe bila ya huruma.
ReplyDeleteKigogo Boy
Kila nchi ina timu za mbeleko. Uingereza kuna Man U, Tanzania kuna Yanga nk
ReplyDeleteHongereni Man U. Shida ya kuchezea mbeleko inakuja kwenye ukweli-continental tournaments.
haki ya nani manuuu inanifurahisha acheni tuuuuuuuuuuuuuu yani namisi home ushabiki wetu paleee q bar yani ilikuwa hatari huku hawajui haya mambo ya soka sema ujianglizie kivyako kwenye tv tena asubuhi vile tumepishana masaa lakini inanoga pia hasa namna hiiiiiii wewe manuuu wachape! wachape! wachape! siku zooote debe tupu haliachi kuvuma mimi na manuu mpakaaaa mileleeee
ReplyDeletemanka wa canada
Kaotea wakati alikwenda na sambamba na buti la johson, una matege ya macho wewe. Goli la kwanza ilikuwa ni penalt halali check vizuri, tatizo watu mnacheck soccer kwa kuchungilia kwenye madirisha ya jirani or uko bar tv ipo mile kadhaa toka ulipo. Kuna team inyopeta kama Man U kwenye continetal? the last 2 eufa champion league final ndani ya nyuma, na mwaka huu hakuna wakutuzuia
ReplyDeleteGoli la pili safi ila la penalty halikuwa halali, tatizo lilikuwa nje ya box refa kajifanya hajaona akaamua iwe hivyo. Pia kuna jamaa wa liva alipandwa juu ya kichwa kwa mguu refa akapeta!!!
ReplyDeleteRose muhando UNITED....NIBEEBE NIBEEEBE, NIBEEBE NIBEEEEBE NIBEMBELEZE NIBEEEBE..........,
ReplyDeleteMdau chiggs
Hivi wewe uliesema u hata Man u nani aliyekwambia wanakupenda vipi wewe? Halafu mie nawashangaa Man u wakifunga ohooooooo wamebebwa sasa mtu anabeba mtu kutokana na anabebeka sasa utambebaje mtu ambaye hawezi kubebeka. semeni yoote mwisho wa siku kombe letu, hivi hamchoki kila siku mnaisema Man u wenzenu wanapata maendeleo nyie mnazidi kusema hivi kwanini msiangalie wenzenu kwanini wanamaendeleo mkaiga. Pole zenu na wivu wenu.
ReplyDeleteLiverpool fan
....kweli OLD TRAFODISH is always there jamani.........mtu kafanyiwa faulo katikati ya dimba........refa katenga penati.........goli la pili NGURUWE a.k.a RUN kamshika caragher refa kapeta mchina kipiga kichwa cha utosi goli........HOWARD WEBB kama anavojulikana dunia nzima ni shabiki wa MANU so mechi ya nyumbani kwao against any team he will ensure the victory to manu..........keep it UP WEBB and manu fans..........
ReplyDeletedon panic ankal it was 14men against 11men... thats why they have won... inekuwa italia ingeundwa tume kuwachunguza na sina uhakika kama kuna refa kutoka england anaweza kuchezesha kombe la dunia kuanzia hatua ya robo final vinginevyo tusubili tena refa akitoa kadi tatu za njano kwa mchezaji mmoja au itatangulia nyekundu halafu inafuata njano.
ReplyDeleteNONDO
Man U,tupo juu vibaya sana......
ReplyDeleteHi HATERSSSSSS!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteJamani eeeh! ndio marefa wooooote ligi kuu ya primiya liga ya ukerewe ni wetu ndo maana tumechukua mara tatu mfululizo, na hii ya nne.
Wanunueni na ninyi mpete, au hamuoni wivu??
UEFA championi tunaingia final kwa mara ya tatu mfululizo, nako pia marefa wetu..lol!!
nendeni fifa.com mkaone sheria za mpira wa miguu. siyo mnatuletea mambo ya cricket huku.mchezaji beki akimburuza mshambuliaji toka nje ya box mpaka ndani hiyo ni penalt . end off
ReplyDeletembona na nyinyi hambebwi??? mna gundu m... alipoondoka ronaldo mlitukashfu ooh injini yetu imeondoka ati tutashuka daraja sasa huyo ronaldo havumiiii hakuna hata cha bekham sijui becks ROOOONNEEEEYYYYYY mnammezea mate hadi yanawakaba mnaona jinsi babu alivyo na mbinu??? kama vipi amieni manuuu ili msipate kero ya kukonda mtima manu oyeeeeeeeeee.
ReplyDeletehawa chealsea nao walikuwa wanajifanya vinara saana kukaa kileleni walika weeee wakachoka tukaja wazee wa vikombe tukafanya kweli arsenal bunduki haina risasi poleni saana mlikuwa mnangojea mkono udondoke kama fisi walau na nyinyi mjidai kabatini kwenu wapppppii ronaldoooooo he he heeeee huvumi lakini umooo unajuuuuuuta kuhama manuuuuuuuuu
ReplyDeleteati u hate man uuuu we luv manuuuu kama ze fulanazzz mwaka wetu huuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kabati linazidi kushine
ReplyDeletewatu wengine bwana? kuliko mmongelee kuhusu simba,yanga au basi miembeni eti mnapoteza muda wenu bure kua kushangilia ligi ya wingereza! hivi tutaendelea lini sisi wa africa? mdau toka bujumbura
ReplyDeletesimba na yangu kitugani wee,,ukipewa kisamvu na kuku utachagua kula ni ni wewe,,kuangalia ligi ya tanzania ni kama kuchagua kula kisamvu na kuangalia ligi ya uingereza ni kama kuchagua kula mapochopocho..
ReplyDeletenaichukia Maniuuuuuuuuuuuuuu kama ninavyichukia Simba ya bongo. jamani hiyo maniuuuuuuuuuuuuuu ambayo inamadeni ya kutupwa nayo ni timu ya kujivunia, wakati muda wowowte hata timu itakuwa mnadani kama sio rehani, na wazee wazima wa ARSENAL KAMA SIO cHELSEEEEEEEEEE NDIO TUTAINUNUA. YAANI MNAJIVUNA NA HAYO MABAKULI YA KUBEBWA KILA SIKU, watu tuna hela zetu Arsenal tukitaka kuyanunua hayo mabakuli mnayoita vikombe tunaweza ila tunawaachia msije kujinyonga maana mna frustration za recession.
ReplyDeletehater of Maniuuuuuuuuuuuuuuu Arsenal Fannnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn
watu wengine bwana! nakuambia ya maana unaanza kuleta kuleta eti kisamvu na kuku!tuzi fagilie ligi zetu, achana na hizo ligi za madeni. mdau toka buja
ReplyDelete