
Katibu Mtendaji wa Tume Japhet Sagasii akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuwatunuku vyeti Maofisa Sheria wa Tume mara baada ya kuhitimu mafunzo ya mwezi mmoja huko Morogoro

Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ( Utafiti) Adam Mambi akizungumza kwa niaba ya wahitimu wenzake kutoa shukrani kwa kupatiwa mafunzo ya Uandishi wa Sheria, aliyekaa ni Ofisa Sheria wa Tume hiyo Andisya Nalingigwa.

Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Japhet Sagasii akimpongeza Naibu wake anayeshughulikia masuala ya Utafiti Adam Mambi anayepewa cheti cha kuhitimu mafunzo ya muda mfupi ya Uandishi wa Sheria, katikati ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Modesta Opiyo

Mhadhiri wa Mzumbe Modesta Opiyo katikati akimtunuku cheti Ofisa Sheria wa Tume Andisya Nalingigwa

Maofisa Sheria, Wahadiri wa Chuo Kikuu cha Mzumbe pamoja na Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT) Japhet Sagasii wakigongeshana glass wakati wa hafla ya kuhitimu mafunzo ya muda mfupi yaliyofanyika mkoani Morogoro.
I hope wanajua sheria na sio sheria za kwenye vitabu. Sheria zinatakiwa ziwe updated na sio za kukariri darasani.
ReplyDelete