

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mimi naamini kazi hii apewe Twalibu Hilal hakuna haja kumpa Mzungu wa Yanga wala huyo wa UK anayejipigia chapua kwa Michuzi Blog,
ReplyDeletehuyo Mwingireza kafundisha timu gani ya UK?WIGAN, BLACKBURN AU SUNDERLAND? hata timu ya daraja la tatu hajafundisha.wangekuwa makocha kama Sam Allayday,Mike Hughes au Rednap au Bruce hao wanajulika kazi zao.
lakini huyu Mzungu mbabaishaji hana kitu.
kocha wa yanga hata Mzunguko wa kwanza na Lupopo ameshindwa hana jipya.
Twalib ana kila sifa kwanza kila likizo anajitolea kuifundisha Simba bila pesa,pili amefanikisha Simba kuifunga Zamalek, amekwenda kufanya Training na Manchester United kama Visiting kocha,
naona ni wakati wa kumpa Twalib Hilal unless kuwe na heavy weight kama niliowataja hapo juu ambao wamefundisha Primier ya UK au hata Champion league with good records.
sio huyu mzungu anayejipitisha na kulazimisha.hata kocha wa ivory Coast bomu msije kuingia mkenge kwani naye nasikia anapiga jalamba.
tunataka kocha mwenye good records sio kama Maximo ambaye hana rekodi yeyote ile.
kila siku nidhamu mbona Terry hajafukuzwa kwa kunidhamu anaendelea kucheza timu ya Taifa?
ni mimi mdau Kisiju nisiyempenda Maximo siku zote.
Lets be serious,swala la timu ya taifa ni nyeti.Tff wanatakiwa watulize vichwa vizuri kwenye kumpata mrithi wa Maximo.Hiyo nafasi isitolewe tuu kama njugu! Twalib? is a friends of Simba coach na atamchukua Julio awe assistant I dont think so! mpeni under 20 national team.
ReplyDeleteAnkal unamfanyie kampeni Twaribu Bilali au?
ReplyDeleteTunahitaji muundo mzuri wa soka kwa ujumla.....sio kocha wa timu ya taifa. Mpira una muundo wake... bado hatuna muundo wa soka.
ReplyDeleteTunapoteza pesa bure za makocha....kwanza tujipange sawasawa.
Kabla ya yote ' track record' yake ikoje miaka ya karibuni huko Uarabuni???lazima kuwe na vigezo vya kumpimia.....
ReplyDeleteMziray
Nakubaliana na PEAF. Ijapokuwa T. Hilali ni kocha mzuri, tatizo letu ni mfumo mzima wa soccer. Kwanza, Hakuna viwanja vya michezo kwa ajili ya watoto wetu. Zamani Jangwani kulikuwa na viwanja vya zaidi ya timu 30 wakati Dar ikiwa na watu nusu milioni tu. Pili, Kuwe na mashindano ya timu za mitaa na shule kama zamani. Tatu, Viongozi wa soka na timu za michezo wawe ni watu wanaotaka uongozi kwa ajili ya mapenzi yao ya soka na timu zao na wasiwe ni watu wanaouona uongozi kuwa ni mradi was kujinufaisha. Nne, menejimenti ya michezo iwe ni wa kisayansi na kisasa na si kiholela tu. Vinginevyo, hata tukiwaleta Wenger na Ferguson wawe makocha wetu haitasaidia.
ReplyDeleteTalib naona ndiyo anafaa kwani anajua fitina za waarabu anatufaa sana huyo papic mwache afundishe lupopo wa dar
ReplyDeleteONCE AGAIN;HUU NIWAKATI WA KISIMAMIA KIDETE SOCCER ACADEMY SIYO KUWAPIGIA DEBE HAO WATAFUNA PESA: TIMU YENYEWE IMEJAWA NA WAZEE WATU;
ReplyDeleteHATA HUYO KOCHA MPYA ATAFANYA NINI ZAIDI YA KUMWITA KASEJA;NA KUPANGIWA TIMU NA MAGAZETI????????
Mdau Kisiju sijakuelewa, nadhani ungeanza kutuambia Maximo kafundisha timu gani kabla ya kupewa Stars. Kimsingi Tanzania hatujawahi kuwa na tatizo la kcoha, tatizo lilikuwa ni uendeshaji wa timu yetu ya Taifa, tunao qualified coaches, ila timu ukiilaza Salvation Army pale Mgualani, wachezaji wakinywa maji ya bomba usitegemee miujiza hata ukimleta Prof. Wenger!!!!
ReplyDeleteNo, no, no, no!
ReplyDeleteTalib au kocha yeyote mwenye CV kama ya Talib hatumtaki au hafai!
Tunataka Kocha mzungu siku zote atapewa ushirikiano na serikali na TFF, hana longolongo za kiswahili kuwavumilia wachezaji wasio na nidhamu, atawa-link wachezaji wetu na vilabu vya ulaya, et4c. Kumbuka kocha mzungu aki-recommend mchezaji maramoja anapokelewa. Poulson wa Denmark alipokuwa kocha wa Zambia Andrew Tembo na Mwape Miti walisajiliwa na OB Odense kwa recommendation yake. Roger Palmgren alipokuwa kocha wa Rwanda Olivier Karekezi na Bob Bora walisajiliwa Sweden, etc.
Mzungu bwana, tuachane na wazalendo ambao hawataufikisha popote.
Makocha wazuri wapo wengi TZ, tatizo ni mfumo wetu wa unafiki, na ugumu wa kupenda kufanya kazi ngumu.
ReplyDeleteInajulikana wazi kuwa mpira unaanza utotoni, ila wanaopewa majukumu siku zote wanajisahaulisha na kuopt on the easier way.
Hakuna siri,
kocha anaetakiwa ni yule anaeweza kuwa pamoja na ujuzi wake wa kufundisha soka, aweze kuzijua siasa za Tanzania, aweze kuzitumia kuleta resources kwenye mpira na weze kuifanya timu ipendeke na kuheshimika ili sponsors waone sababu ya kuinvest kwenye mchezo huo.
Makocha wengi wanajua tu mpira ila hawana vifua na personality ya kuhimili na kusukuma mbele gurudumu la mpira.
Maurinoh ni mtu wa Angola mbona kocha mzuri?mnaobabaikia wazungu mna matatizo ya akili.Misri kocha wao sio mzungu.wanafanya vizuri.Tambwe Leya hakuwa mzungu alifundisha vizuri.
ReplyDeletetimu nne zilizoingia nusu fainali kombe la Africa ni moja tu yenye kocha mgeni.
mdau kisiju.
KIKWETE MLETE HASSAN AL SHEHATA,KOCHA MAARUFU WA MISRI...PERIOD!!!
ReplyDeleteTwalib Hilal angeweza kuwa kocha mzuri wa moja ya timu za vijana. Anaelewa vizuri mazingira ya Watanzania na vijana wa Kitanzania wanavyofikiri.
ReplyDeleteKwenye suala la timu ya wakubwa inabidi tukubali kutoka nje ya nchi yetu. Faida ya kocha mweupe ni urahisi wa kupeleka wachezaji wetu nje ya nchi. Kaja Maximo tunaona Henry Joseph na Haruna Moshi watacheza ligi kuu kwenye mataifa ya Ulaya mwaka huu. Nizar katinga Canada. Kabla ya Maximo wachezaji wetu walikuwa wanatinga Fanja.
Tusipaparikie makocha wenye kujipigia debe kama Mwingereza. Mpango anaodai anao unafananafanana na mpango aliopata kuutoa Profesa Victor Stanslescu.
Stanslescu yuko wapi? Yule anatufaa.
Wadau mnaosema nidhamu sio issue kwa timu yetu niwaulizeni...katika wachezaji wetu wanaodaiwa kutokuwa na nidhamu tunaye mchezaji wa kiwango cha Drogba, Essien, Sergio Ramos? Kama hatuna tunadhani timu yetu ikiundwa na wachezaji wasio na nidhamu wakitoka nje ya nchi watatuwakilisha vipi? Watafungua milango kwa ajili ya wenzao au wataifunga????
Apewe Twalib ,ni Mtanzania anayejua vema kazi yake na ana uchungu na nchi yake.
ReplyDelete2. Au mchukueni kocha wa Ivory Coast hana kazi,japo Twalib(ingawa ni damu ya Simba) lakini anafaa sana.Lakini mumlipe kama Marcio au zaidi, msije mkasema aaa bwana, weye tunakukopa.No, mpeni fedha, timu na uhuru awachakaze waarabu.
MWAMBIE AENDE KWENYE WEBSITE YA TFF AWEKE CV/RESUME YAKE TUIONE (UWAZI KWA WOTE).
ReplyDeleteNaomba kuliza 2lipokuwa na mashindano ya shule kama umishunta na umiseta. Timu ya Taifa ilifanikiwa ata kwenda Kombe la Mataifa huru Afrika back 2 back? Kama aijafanikiwa wats da point ya kuwa na makocha wenye majina makubwa na kupoteza ela. Ukweli kwamba Watz 2napenda kujirusha. Mchezaji anapiga soka, akimaliza yupo ktk viti virefu sasa hapo 2tafika kweli? 2kiacha haya na kufatilia kanuni za mpira 2tafika 2napopataka sio kushabikia timu za Ulaya. Baadala kupiga debe serikali iludishe timu za zamani ktk ligi kuu kama, Tukuyu ya Mbeya, Reli ya Moro, Bandari ya Mtwara, Pamba ya Mwanza amabayo mimi naita Da Academic skul ya Tz. Tatizo wachezaji wa sasa wanapenda sana kukaa ktk viti virefu ndio maana ata miili hawana tofauti na wachezaji wa zamani.
ReplyDeleteMdau kigogo
Bro Michu. Wtz 2mezowea midomo sio vitendo. Kama hawa wa2 wangekuwa hai na vijana basi timu ye2 ingekuwa South Africa samma hii. Golikipa Mwameja, Iddi Pazi, Sau kambi,Juma MPonda Mari, Steven Nemesi.Beki ya Kulia Kasongo Athumani,Bakari malima Jembe ulaya, Khasim shuwa boy,Deo Njohole, david Mwakalebela. beki za kuShoto Keneth Mkapa,Twaha hamidu, Alfonce Modest, Petter Tino. Namba nne Ntwa Kiwhelu, Mustafa Hoza, Abeid Mziba.Mkoba George Masa2, Mwesa Kiwhelu Namba 6. Hussein Masha, Issa Athuman Mgaya, Menthod Mogela. namba 7. Abdul mashine, sanifu lazalo Tingisha, George Lucas. Namba 8. Athuman China, Mao mkami ball dancer, Musa Kiwhelu. Namba 9 Sembuli, Ntheze John Rungu,Madaraka Selemani Mzee wa kiminyio, Saidi Mwamba Kizota Namba 10 Malota Soma ball jagila,Zamoyoni Mogela Fundi,Masamaki, Lubigisa, Fumo felixian, Ally Machela, Saidi Suwedi Scadi, Itutu Kigi, Damiani Kimti. Winger ya kushoto Lunyamila, Duwa Saidi, Thomas Kipese. Niliowasahau jamani muniandikie. Hii list ata Fergeson kicha kingemuuma kupanga. Maana hapo utamuacha nani umapnge nani? Wachezaji waliokufa wote Mwenyezi MUNGU awaweke mahali pema peponi, Amin
ReplyDeleteNawakilisa Kigogo Mbuyuni
Unkel Asalam Aleykhum, ninheshimu mawazo ya watu waliotangulia. Mie Mtazamo wangu ni tofauti kidogo, Ninakubali kuwa Twalib ni mmbongo mwenzetu na amepandisha Nondoz za ukocha na soka la bongo analijua sana. Kabla ya yote nafikili kitu muhimu aweke CV yake hadharani, tuone ni mafanikio gani aliyoyapata kwa kipindi chote cha ukocha, tusimpigie chapuo mtu kumbe CV bado inagomba haijatulia. Mdawu. . .
ReplyDeleteJamani waTz tuache bla bla TFF mmesema mnaendesha huu mchakato kwa uwazi kama ni hivyo lazima CV ya huyu Twalib iwe hadharani(michuzi tuwekee hapa)then ndio swala la kuchangia maoni linafuata..
ReplyDeleteMdau A-town
Suala sio mzungu wala mwafrika,suala ni kocha mwenye uwezo?Je TFF wanauwezo wa kuchambua na kuchagua kocha bora kwa mazingira yetu na ya dunia?
ReplyDeletewachezaji kupata timu ulaya sio kwa sababu ya Maximo pekee,pia kuwepo kwa mawakala,na suala la bei,wachezaji wetu ni cheap sana wanafaa kwa ligi za huko waliko kina henry na Haruna.
Kwa reference hilo nilikuwa na imani na maximo na makocha wazungu wote waliofundisha Simba na Yanga,lakini Maximo hakuna alilofanya,ndo kwanza tumesikia alimbania Haruna Moshi.
Tukune vichwa tuangalie nini malengo yetu kwenye soka,na kutambua rasilimali zilizopo.
Mdau