Maulid ya Mtume (S.A.W) Mikocheni kwa Warioba jiji Dar katika uwanja wa Lauret Int. School. ambapo Mama Salma Kikwete alikuwa mgeni rasmi na kuhudhuriwa na Mama Sitti Mwinyi na viongozi na wanawake wa kiislam toka maeneo mbalimbali
kinamama katika maulid hiyo sare za kijani zilitawala maulidini hapo
utulivu na usikivu vilitawala




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Kidumu chama cha mapinduzi ,jamani hadi kwenye maulid.......

    ReplyDelete
  2. kaka kuvaa kijani kiislam ni sunna,na ndo maana unaona mataifa mengi ya kiislam yanatumia rangi ya kijani kwenye bendera zao.kijani ni rangi ya kiilam ilotumika hata katika vita.wadau wasije wakadhani kampeni kwenye maulidi.

    ReplyDelete
  3. Duh! Wakina mama oyeee! kidumu chama cha mapinduzi! zidumu fikra za mwenyekiti!

    ReplyDelete
  4. Watu wataumwa kweli na hiyo rangi, utafikiri hawajui kuwa waislam huwa wanatumia rangi ya kijani kwenye bendera zao na shughuli zao mbali mbali. Hakuna cha ajabu hapo lakini utashangaa maoni yatakayotolewa humu.

    Vile vile inawakumbusha kuwa chama cha TAA kilichokuja kuanzisha TANU na baadae ikazaliwa CCM waasisi wake ndio waliochagua hiyo rangi kwa kujua maana yake. Kwetu sisi ni faraja kuwa angalau hiyo rangi inatukumbusha Waasisi wa TAA na TANU, na waliopigania uhuru wa nchi hii wakati wengine wakijificha "maka....." kuogopa mabwana wa kizungu ambao wanaendelea kuwaogopa na kuwaabudu mpaka leo!

    ReplyDelete
  5. IT IS TO MUCH POLITIKING.

    ReplyDelete
  6. hongereni kina mama kwa hiyo maulid vilevile Big up Mdau uliyeelekeza kuhusu rangi ya kijani
    Rehma na Amani Zimshukie Mtume Muhammad(S.A.W)
    Ahsante kaka Michuzi nakukubali

    ReplyDelete
  7. salaamu alaika ya HabiibaLlaha,

    ReplyDelete
  8. Wewe madau hapo juu kijani ni suna, na njano iliyopo katika hizo kanga pia ni nini? You don't have to be a rocket scientist to know what do those colors stand for ...

    ReplyDelete
  9. hata kama ni sunna hiyo kijani bin yeboyebo (njano) ilikuwa inalenga u ccem tuu

    ReplyDelete
  10. GREEN is the colour of Islam
    The prophets (saw) favourite colour was green
    Islamic armies marched behind green flags
    Green symbolises freshness,life,cleanliness
    Paradise is green and those in paradise will wear green garments of fine silk Quraan 18:31
    Al Islaam means obedience to God

    Wakatabahu

    ReplyDelete
  11. RANGI YA KIJANI NDIYO ISHARA YA UISILAMU SAWA SASA NYIE MNAOTUFAFANULIA MBONA MNAISHIA HIYO TU, NJANO HAMUIONI?

    ReplyDelete
  12. MBONA WANADAMU HAMNA JEMA, WANGEVAA NYEUPE BLUE NA NYEKUNDU MNGESEMA CUF, KILA RANGI AMBAYO WANGECHAGUA LAZIMA MSEME NENO, ACHENI HAYO MAMBO MWACHENI MTU AAMUE RANGI APENDAYO, KWANI HAPO WANAPIGA KAMPENI SI WAPO KWENYE SHUGHULI ZA KIDINI, MBONA WAPO WATU WANAVAA KIJANI NA NJANO KWENYE HARUSI ZAO LAKINI HAMSEMI NI POLITICS, ACHENI MAJUNGU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...