Meneja Kiongozi na Uhusiano wa Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akizunumza wakatiwa kukabidhi vifaa vya mheo wa tiu zinazoshiriki mashindano ya Kombe la NSSF. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.
Meneja Kiongozi na Uhusiano wa Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii-NSSF, Eunice Chiume (shoto), akimkabidhi Mwenyekiti wa klabu ya Wizara ya Habari, Utamaduni na Mchezo,Ombeni Zavala kwa ajili ya michuano ya NSSF.

Afisa Habari Wizara ya Habari, Zanzibar, Khamis Shabani (shoto) akipokea vifaa vya michezo leo mchana kutoka kwa Meneja Kiongozi na Uhusiano wa Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume kwa ajili ya mashindano ya Kombe la NSSF yakayoanza kutimua vumbi jumamosi katika viwanja vya TCC Chang'ombe. Mashindano hayo yanavishirikisha vyombo ya habari kutoka Tanzania Bara na Viiwani ambapo jumla ya timu 16 zitashiriki mashindano hayo. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. jamani mama Eunice chiume amefanana sana na Gavana wa canada!

    ReplyDelete
  2. Madam Eunice (classmate chuo Mlimani 1996-1999) BIG UP!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...