Home
Unlabelled
michuano ya umisseta jijini dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
lol!! basi full ma-happy, those are nice lcds tho...
ReplyDeleteNchi yetu Zero kweli Lazima kuwaandikisha watoto shule majina wataotaka kujishirikisha alafu Mnaandika majina yao na size za unifomu na viatu pesa zipo mnakula tu wapeni wakimbilie sasa hivyo peku ndio nini wanakuja nanguo zao mnawachokesha tu. Ingekuwa Miss Tanzania hapo mshataarisha kila kitu nguo wapi pakulala hawalipi hata kitu. Mzee Machungu.
ReplyDeleteNaam! Wanamichezo hupatikana kuanzia hapa. Huyo mwenye bluu anayekimbia peku anaonyesha form nzuri ya kukimbia. Akipata mafunzo anaweza akatisha.
ReplyDelete21st century na bado tunakimbia peku! lol
ReplyDeletejamani viatu vipi?
ReplyDeletewanafunzi wa secondary wanakimbia peku inabidi nishangae ingekuwa primary kidogo ningeelewa
ReplyDelete