

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Allahuma Swali alaa Sayyidnah Wa Mawlana Muhamad Sala Allah aleihi wa Salaam
ReplyDeleteMashallah!Ahlul Mahabba Rasuli-LLAH!
where are the women?
ReplyDeleteHII NI MIRaJ OR MILaD? Milad ni nini?
ReplyDeletekwenye hii milad lazima uwe na mzuzu?
ReplyDeletenaitaji mtufananulie ili tuelewe wengine maana imenivutia hii kitu!!!
ReplyDeletetanzania tunaishi imani mbalimbali na tunapendana tu
hii ni sikukuu ya maulid/mtume au ni siku ya kumsheherekea nani???
Milad Nabii mara nyingi sisi Wabongo tunajua kwa kusema Mawlid au Maulid au Uzawa Wa Mtume S.A.W
ReplyDeleteHawa ni Mabohora(Kundi katika Makundi ya Mashia) ni waisilamu, Kiongozi wao Burhanudin