Golikipa wa majimaji ya Songea, Said Mohamed akijaribu kuokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake bila ya mafanikio wakati timu yake ilipokutana na Manyema Rangers katika mchezo wa Ligi ya Vodacom uliofanyika leo. Manyema 'Mkuki wa Sumu' ilishinda 2-1
Beki wa Majimaji ya Songea, James Mwakababu (shoto) akichuana na mshambuliaji wa Manyema Rangers, Ally Mohamed.
Beki wa Majimaji ya Songea, James Mwakababu (shoto) akijaribu kumzuia mshambuliaji wa Manyema Rangers, Ally Mohamed katika mchezo wa Ligi ya Vodaco uliofanyika leo jioni kwenye Uwanja wa Uhuru. Manyema Rangers 'Mkuki wa Sumu' imeshinda bao 2-1
Mwamuzi wa mchezo kati ya Manyema na Majimaji, Judith Kamba akiwa kazini.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ndugu Michuzi nisaidie ujumbe huu uwafikie waheshimiwa walengwa haswa bodi ya Utalii na TANAPA ijue mikakati ya hawa nyang'au. Nimepata email toka kwao sasa najiuliza je sisi wenye mbuga hizi tutapata faida gani kama mtalii atalipia kila kitu huko kwao na aje kutembea Tanzania wakati hata pesa zote amelipa kwenye package wanazoziandaa kwao. Tayari wameshasambaza email lukuki kwa ajili ya package za Pasaka, lakini malipo yote ulipie kwao kwa pesa ya kwao. email yao ni:info@dreamofafricasafaris.com nadhani huu ni wizi mwingine. I hope Tanapa na bodi ya utalii na wadau wote wamejipanga sawasawa ili kutokukosa mapato yatokanayo na utalii. Tusilale!

    ReplyDelete
  2. safi sana refarii mwanamke

    ReplyDelete
  3. Hello,

    I just came across this comment and found it rather shocking. I trust that the person who posted this is aware that park entrance fees to any park in Tanzania is paid at the gate and therefore I wonder how TANAPA could possibly be robbed. Further the accommodation offered is fully paid for to the properties in question so just out of curiosity - who would be getting robbed here - all concerned pay the necessary taxes to the Tanzanian government don't they? Many operators in Kenya sell Tanzania safaris and Tanzania operators sell Kenya safaris - is the poster suggesting that each should stick to their country???.Is the poster aware also - that any business to the country is revenue for the government - regardless of its source. It is comments of this nature, and the attitude behind them that are threatening the EAC Common Market Protocol. I would urge the moderator to screen postings that either display extreme ignorance or are leaning towards malice - as I suspect that this one is

    Concerned

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...