
Leo ni tarehe 8 Machi ambayo ni siku ya Kimataifa ya Wanawake. Ulimwengu unaadhimisha siku ya wanawake katika hali ambayo ingawa karne nyingi zimepita na ustaarabu unaonekana karibu katika mataifa yote duniani lakini mwanamke katika kila jamii bado anazungukwa na matatizo mengi.
Ingawa maendeleo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na hata kitiba yanaendele kushuhudiwa duniani kote lakini mwanamke bado ni mhanga wa mauaji ya holela, vita, uchumi mbovu, siasa za kibabe, ukosefu wa usawa, huduma bora katika jamii na unyanyaswaji wa kijinsia.
Soma ujumbe wote katika
Libeneke la Kona ya Afya
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...