Mratibu wa Tamasha la Zanzibar International Film festival (ZIFF) Daniel Nyalusi akifafanua jambo mbele ya waandishi, watengeneza filamu,waigizaji na wadau wengine kuhusiana na mchakato mzima wa tamasha hilo,Shoto kwake ni Mdau Mkuu Edward Lusala
Meneja Masoko wa tamasha la ZIFF,Laurian Kipeja pamoja na Mratibu wa tamsha hilo Daniel Nyalusi wakionyesha bango lao jipya litakalotumika mwaka huu kuhamasisha tamasha hilo lililowahusisha waandishi, watengeneza filamu,waigizaji na wadau wengine.
Muigizaji wa mahiri wa Filamu hapa bongo Jacob Stephen a.k.a JB akitaka ufafanuzi zaidi kutoka kwa waandaaji wa tamasha la hilo la Nchi za Jahazi kuhusiana na nafasi yao ya ushiriki

Naona wamepania Tamasha la mwaka huu iwe nzuri kuliko miaka ya nyuma! Namwona mwigizaji Mzee Olotu (Uncle kwenye sinema Bongoland 2)hapo!
ReplyDeleteKila kukicha ni tamasha, sijui elekeza mweeee mi sichemi kitu ooooppps I just did
ReplyDeleteHivi kwanini hili tamasha lifanywe Zanzibar? Kwanini halifanywi Tanganyika ambako ndiko kunakotoka wasanii wengi? Au kuna ajenda nyengine ya siri?
ReplyDelete