mpiga gitaa la bezi wa twanga pepeta, Hosea Mgoachi, akifanya vitu vyake mbele ya mashabiki jioni ya leo kwenye bonanza la muziki na michezo ambapo bendi yake hutumbuiza. toka arudi toka dubai alikokuwa kwa miezi mitatu, hosea amekuwa kivutio kikubwa cha bendi hiyo kwa kuhaha kila kona akiungurumisha gitaa lake na kucheza kwa ustadi mkubwa. Kabla ya kwenda umangani Hosea alikuwa anapigia Twanga Chipolopolo
hosea akiburudisha wadau leaders club jumapili hii

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...