Home
Unlabelled
mpunga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duuuh...kweli ze fulanazzz inanguvu kweli, wenzako wote wamepiga kanzu wewe ze fulanazz...Idumu fulanazzzz...!!! Fulanazzzz daima!
ReplyDeleteChibi.
ankal kila nguo na mahala pake,kama hivyo basi uwe na kanzu itakayo fanana na hiyo mistari ya kwenyer fulaaaaanaz.
ReplyDeleteMaulidi ya kinamama nyie kina baba mlikuwa mnatafuta nini? Naona mnajichana biriani la Maulidi ya Kinamama wa Kiislam wa Mikocheni hapo! Bisha kama sio kweli?
ReplyDeleteAnkal Naona Umesahau kukaa kwenye jamvi sasa hahahaahah ushazoea Table 4 two kushika mikonozz hahaha kama umeonewa hahaahah. Pazi.
ReplyDeletehiiiiii! Ankal katuwakilisha na Ze Fulanazzzzzzzzzzzzzzz!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteAnkal, are you serious na huo ujazo au ni masuala ya photo-op!
ReplyDeleteMICHUZI, HUYO USTAADHI ALIYEKUWEKEA MKONO ANAKUPUNGUZIA AFANISI... HIYO KITU INATAKIWA UWE NA NAFASI ILI UJINAFASI.
ReplyDeleteANKAL KWA MPUNGE, MPUNYENYE, MCHEKA NA WATOTO, EBU ANGALIA PUA HIYO INAVYONUSA, MWEEEEEE. NI MAMBO YA WATU WA PWANI HAYO.
ReplyDeleteankal vipi bwana watu wote wamekula kanzu wewe tu ndie umekula biriani.
ReplyDeletewewe kula ubwabwa SISI TUNASHANGILIA UBNGWA SIMBA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
ReplyDeletevijiko akuna!!!kaka michuzi kwa jinsi unavyo alikwa kwenye minuso nazani kwako una save sana!!!
ReplyDeleteAnkal mbona picha hii ya mpunga haina maelezo. nilipenda sana kujua ulikuwa na kina anani na mnuso gani. www.bashir-nkoromo.blogspot.com
ReplyDeleteAnkal mbona picha ya mpunga haina maelezo? kwani mnuso huu uliufumania wapi?
ReplyDeleteNaona Ankal uko na Mstahiki Sheikh Daudi Hamisi Danda! Sheikh mkuu wa Kimra Baruti. Msalimie sana mwambie Ustaaadh Kitaulo anamsalimia!!
ReplyDeleteAnkal nakuona hapo hata storizz utaki kwa mpungwa,,huyo jamaa alievaa kanzu kasema hiyo sahani ilikuwa pili hahahahaha
ReplyDeleteMdau wa Iceland
ankali ukiona mpunga nyama hadi una smile lol.. ila kweli huo mpunga nyama unatamanisha !
ReplyDeleteankal inaonekana ulivyokua madrasa ulikua unapenda maulid na khitima.halafu inaonekaana unajenga pembe nne then unamweka sisimizi kati,atakapo elekea huyo sisimizi ndio kwenye eneo la mpunga.
ReplyDeleteankal mbona unakula sana lakini hunenepi? kila ninapokuona kuna munuso wa aina fulani fulani......jaribu kupima choo....
ReplyDeletekwani
umeshacheki minyoo karibuni?
Ngw'anawane Side nakuona hapo na Daudi na Ankal baada ya kukamilisha shughuli ijumaa...Hongera sana mwana mshikambaku!
ReplyDeleteAnkal tupigie bac hat ze fulanaz nyingine mana wadau tushakrem hii!!!
ReplyDeleteBasi umenitamanisha kweli. Siku nyimgine basi zoom in hilo lipilao tulione kwa karibu. Nikigoogle kuna vitu ambavyo huvioni kwa karibu kabisa kwenye online.
ReplyDeletePilau bomba kama hiyo zipo za india tu.
Kashata huoni kabisa
Sambusa za bongo hamna
Yale mabumunda (popcorn brittle)
Chapati za bongo hamna (zipo za ethiopia)
Mandazi yapo ya kenya tu
Yaani vyakula vyetu vya kibongo huvioni kabisa ...mnaopata access ya hivi vyakula basi mpige picha na mkiweka humo kwenye internet muweke kwa jila la kiswahili. Litusaidie siye tunaotamani japo kuona something from home...
Ankal kwenye mnuso huo nasikia umeenda na ndizi yako mwenyewe duh!
ReplyDeleteMdau
True blue Helsinki.
Huyu ankal nimegundua kitu ze fulanazz ziko nyingi mno maana nilikutananae kwa karibu zaidi ile fulanaz ni mpya kabisa. Ankal tuambie unazo ngapi???? Mdau Alex GN
ReplyDeleteDE'DANDA.... HAPO JOJI POJI HAYUKO MBALI MAANA NDO SHUGHULI ZAKE HIZO....
ReplyDeletechiggs
wADAU KWA KIFUPI ANKAL ALIKUWA ANAFANYA COVERAGE YA PICHAZ NA FLANAZZZ KWNY MAULID YA NDG YETU SAID NA NDEKAJE MUYA SIKU MOJA BAADA YA NDOA YAO TAKATIFU, KUSHOTO KWA ANKAL NI DAUDI DANDA, KULIA KWA ANKAL NI SAID MUYA BWANA HARUSI NA KULIA MWISHO NI BESTIMAN BW. ALLY SENGA GUGU.
ReplyDeleteANKAL NI NOMA KWA PICHAZZZZZ(TOTAL COVERAGE) KAMERA ZAKE NI MWENDO WA RAPID...... MTUMIE UTAJUA UTAMU WAKE.... DAH AMENIKOSHA SANA, MDAU LWANJI D.
Bro Michuzi, kwani hapo ulipokaa uliishia kuwa hapo hapo mpaka ulipomaliza hiyo sahani? kama ni kweli, basi hukujitendea haki, kwa nini ujibane hivyo? kula hilo bwabwa kwahitaji nafasi ati!
ReplyDelete