NIAMBIE ANKAL, MAMBO NIAJE?
EBWANA NIIMEKUTANA NA HABARI HII KWENYE GAZETI KUBWA LA MICHEZO HAPA SWEDEN 'SPORTBLADET' LIKIMZUNGUMZIA KOCHA HUYU AMBAYE ALIKUWA KOCHA MSAIDIZI WA TIMU YA TAIFA YA SWEDEN NA PIA KLABU CHA HELSINGBORG IFK YENYE WACHEZAJI WENYE MAJINA MAKUBWA DUNIANI KAMA HENRIK LARSSON.
JE NI KWELI HIYO HABARI?LINKI HII HAPA
fotbollsbladet/landslagsfotboll/ovrigalandslag/article6696932.ab
KLICK MOUSE KULIA THEN TRANSLATE KWENYE GOOGLE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mdau umetushika pabaya, kiswede?? Lakini nimelewa kwa kuangalia mazingira ya habari na picha. Ok na huyu naye ameomba kazi TFF. Inaonekana tunalipa dau kubwa??

    ReplyDelete
  2. Mpeni Kazi huyu bwana kwani CV yake siyo mbaya. Wacha wazawa wapumzike kidogo

    ReplyDelete
  3. inaonekana mawasiliano zaidi katikati ya mwezi huu. mlio karibu na tff tupeni orodha kamili ya watahiniwa, ikibidi orodha hiyo iwekwe hadharani watu waichambue, siyo tuje tusikietu tunatangaziwa mteule. alafu masuala ya posho nk yawe wazi maana kocha wa taifa anakula kodi yetu, analipwa bei gani??? tena kwa maslahi ya wote hawa wawe wanawekwa kwenye mdahalo watupe sera zao, na akishindwa kutekeleza basi anakuwa tayari amejihukumu mwenyewe.

    ReplyDelete
  4. Google kwangu imetapatapa ikachemsha kutafsiri! Kama alivyosema mdau wa kwanza, picha, Tanzania na Maximo ndani ya habari vinatosha kutoa ujumbe.

    ReplyDelete
  5. Inanikumbusha tulivyokuwa tunaangalia sinema za kidosi enzi hizo.
    En fantastisk arena=bonge la uwanja?
    med 65 000 sittande=watu 65,000 walioketi?
    Tutatunga mengi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...