Ankal asalaam aleikhum,
Naomba kuleta hoja ya hoja hii kwa wadau, hususan wanasheria, watutafsirie kilicho katikati ya mstari ya kadi hii ya 'usalama wa magari' pale Mlimani City jijini Dar es salaam.
Nawasilisha
Mdau wa SamakiSamaki.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. THATS CRAP!IF THE CARD IS SOLELY ISSUED FOR SECURITY AND SAFETY OF THE SAID VEHICLE THEN HOW COMES THE ISSUER IS NOT LIABLE FOR DAMAGES AND LOSSES THAT MAY HAPPEN.THATS CONTRADICTORY OF THEIR OWN AND ANYBODY WHOSE VEHICLE MIGHT SUSTAIN ANY DAMAGE OR LOSSES OR HAVE THEIR VEHICLES STOLEN CAN SUE THE ISSUER OF THAT CARD EASILY.
    THEY SHOULD CORRECT AS FOLLOWS IF THEY DONT WANNA GET SUED FOR DAMAGES.

    THIS CARD IS SOLELY ISSUED FOR TIME KEEPING AND PARKING ONLY.ISSUER IS NOT LIABLE FOR ANY DAMAGES OR LOSSES THAT MAY HAPPEN WHILE THE VEHICLE IS PARKED IN THESE PREMISES.AS YOU EXIT PLEASE HAND THIS CARD TO THE SECURITY PERSONNEL AT THE GATE OTHERWISE YOU WILL NOT BE PERMITTED TO LEAVE THE PREMISES

    ReplyDelete
  2. Full usanii...hakuna kitu hapo wanasema watajihadiki kulinda lakini kitu kikipotea hauwezi kuwadai wao...sasa unahitaji nini tena kuelewa usanii uliopo hapo.

    Kama hii kitu inalipiwa basi hawa jamaa wanawaibia raia tu.

    Inatakiwa unapoacha gari lako mikononi mwao basi usiwe hofu tena unaendelea shopping yako bila hofu lakini hakuna tofauti na hao jamaa kama wasingekuwepo.

    ReplyDelete
  3. nadhani kama hicho ndicho kilichoandikwa...nathubutu kusema hakuna haja ya kuwa na hao wanaowaita ''walinzi'' ni kama wako pale kuiba hela za mlimani city...au ni kama dili limechezwa la kifisadi!!!!
    wizi mtupu

    ReplyDelete
  4. ...Nadhani hiki ni kishwanglish cha kwetu.Si umepata maana?

    sarufi ya kidogo ni tabu jamani.

    ReplyDelete
  5. HIYO HAIWEZI KUWATOWA WAO KATI KESI YOYOTE WAKATI AMA GARI LIEIBIWA AU KUHARIBIWA KWENYE PREMISES ZAO, UNAPOLIWEKA GARI KWENYE MAKAZI YA MTU KWA IDHINI YAKE YUKO LIABLE KWA CHOCHOTE KILE KITAKACHOTOKEA.

    ReplyDelete
  6. kwa mtindo huu ushindani ktk masoko ya kimataifa tusahau, watu sasa hivi wanajali zaidi usalama wao na mali zao. tunachagua kwenda supemarket kubwa kwa ajili ya usalama sasa hapa kuna tofauti gani na kwenda k'koo na kumpa mlinzi au teja akuangalizie usafiri wako kwa tsh 1000? shame on u mlimani city n itaenda k'koo au mnataka niajili mtu wa kunilindia gari??????????? lack of proffesionalism

    ReplyDelete
  7. Is just another way of saying "Park at your own risk" Minimize the risk does not guarantee you 100% safety of your car and if anything should happened to your car, they are telling you in a plain language "agh agh agh not liable Mr.". Kapish!

    ReplyDelete
  8. Utata mtupu mbona wanakubali liability mara wanagoma WTF hapo hakuna chochote ukiibiwa umeibiwa hutapata hata nusu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...