These are members of the nomadic Hadzabe tribe who reside near Lake Eyasi in Tanzania. Someone told me they love to smoke weed. Someone was right.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. uuwi we michuzi utatutoa mbavu haki ya nani mbona huyo wa kwanza kustua mjani yupo kama anapandisha maruhani?? yani naumwa mbavu kwa kwa kwaaaaa! hii blogu ina visa acha tu!!

    ReplyDelete
  2. Asante sana ankal michuzi kwa taswira hii.Acha madhamana waone maisha ya kila siku ya ndugu zetu huko...............................

    ReplyDelete
  3. VAzi la harusi hilo.... kwa wale ambao hawataki kucopy ya western au asia. huku ni where they belong.

    ReplyDelete
  4. duhhhh ankal nimekula sana msuba lakini hawa jamaa kiboko,yaani kuutoa moshi nje wanaona hasara.then uvutaji huu unaweza jikuta unatoa mavi au unajamba.duhhhh

    ReplyDelete
  5. hiyo kitu imechanganywa na madondola, mtu anastua kitu kama anafanya tendo la ndoa, unaweza ukaacha haja kubwa

    ReplyDelete
  6. Duh nimepata Dawa ya Kifuwa na Mafuwa inakata yote hiyo inaonesha ukivuta. hahaha Miti Shmba hiyo dawa. HAji tumbo

    ReplyDelete
  7. Wadau wengine wanafurahisha sana. Kuvuta sigara inaonekana ustaarabu kwa vile imefungwa kwenye pakiti. Ukivuta vya asili toka enzi na enzi huku Afrika unaonekana hujastaarabika au hutaki maendeleo.

    ReplyDelete
  8. nshimimana aka dumisaneMarch 09, 2010

    Bwana Michuzi, Asalaam Alyekum.

    ama baada ya salamu,

    mimi bwana nimevuta msuba huo, kuna kipindi nilikuwa nimekwenda huko kuwaona wazee wangu basi ndo nikakuta wako kwenye 'act' si nikauvamia.. apo unapoona inamaana inabidi huu banie ndani ivi..

    basi hata kama ni jua la saa nane, basi if haujauzoea utasikia baridi kweli kweli.. unaweza kuishia kufunikwa mablanketi tu yaani kitu imekuja contact na damu.

    Acha!

    = = =
    Buffalo, (kwa wavuta msuba)
    New York

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...