Bw. Heimo akimvisha Mhe. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mh. Margareth Sitta Skafu kama zawadi kwa Mhe. Waziri Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UNICEF Bw. Heimo Laakkonen akifurahia zawadi aliyopewa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Margaret Sitta. Bw. Heimo amefika ofisini kwa Mhe. Waziri leo kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini

Bw. Heimo Laakknonen akifurahia zawadi ya Kinyago alichopewa kama zawadi na Mh. Waziri mara baada ya kuifungua


















Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...