Home
Unlabelled
nakaaya sumari aanzisha libeneke
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera binti. Wewe ni mzuri lakini,
ReplyDeleteMabuti ya kiwinta kwenye ukanda wa joto ndio kutafuta kuwashwa na kupata miguu ya kichina kama yule mnenguaji wa Twanga. Halafu tutafute mchawi eti umelogwa!
Ni nao ni ukulima, ingawa si wa kilimo kwanza!
Hongera! Lakini hizo boots na topless mbona vyaashiria seasons tofauti!! Ama ndio ilibidi zitoke tu kwa ajili ya picha?
ReplyDeleteHAYA DADA TUTAKUTEMBELEA, LAKINI UWE UNA-UPDATE MARA KWA MARA SIO KUTUWEKEA PICHA HALAFU UNAPOTEA MIEZI!! Weka mambo yako na mziki usiwe kama unataka kuwa mwandishi habari. Hayo mambo mwachie Michuzi ambaye yuko dedicated.
ReplyDeleteMzozaji
nyie acheni kelele, mbona wanaume wanavaa suti three pisi dar? wanavaa buti za timberland, mbona hamsemi? shut the f up! she can wear wat she want its none of ur biz. dont listen to them girl, do wat u want full stop. basi tukae uchi dar kupona joto,
ReplyDeleteTatizo letu wabongo tunafikiri Tanzania yote ni kama Dar. Nakaaya is from Arusha sasa sijui kama mliosema kuhusu hizo boots mlijua amepigia picha sehemu gani. I bet hakuna hata mmoja wenu ameshawahi kufika Meru achilia mbali Arusha. Msiwe mna-judge vitu msivyojua. By the way it is her choice ataangekua amepigia picha Kinondoni.Use that energy to criticize Tanzania government so we can solve water, energy, and education problems.
ReplyDeleteAfadhali Nakaaya amepozi kwa fashion. Hapa Dar katika joto la karibu 40 degrees celsius utakuta watu wamevaa suti za sufi (wool, three-piece). Coco beach mwezi January niliwaona jamaa saa 5 mchana wakivaa masuti. Nikasema hao kweli ndio wanaojitesa kwa ulimbukeni na inferiority complex: watu wanaovaa 3 piece full-suit katika joto la Dar na kwenda nazo ufukweni ni wale ambao wana form bila substance vichwani. Mdau Mongi wa Sinza.
ReplyDelete