Home
Unlabelled
ngumi mkononi ni kitu cha kawaida kwenye mabunge ya wenzetu...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
AMANI HAIJI ILA KWA NCHA YA UPANGA
ReplyDeleteBasi waanze hao CUF kuwapika CCM huko Unguja na mashokishoki!
ReplyDeletehii ngoma inachezwa Singapore?
ReplyDeleteMbona hujajumlisha Somalia? Nilikuwa nafikiri imetokea Somalia peke yake,kumbe imetokea kwenye nchi nyingi duniani.
ReplyDeletekumbe ndio maana wanaendelea wenzetu jamani tukazeni mkanda mbaka kieleweke wasituchezee mtu wowote kama ana uchungu na taifa retu atoke atuwezi kufanywa wajinga kiasi ichi
ReplyDeleteBongo watu hawapigani bungeni kwa sababu muda mwingi wanashinda wanakoroma.
ReplyDeleteNdo maana hata maendeleo yanaonekana huko kwa wenzetu. Bunge letu hewala na shikamoo nyingi sana.
ReplyDeleteHii ni danganya toto tu na si lolote si chochote. Kwetu tunarogana na kutoana maisha kwa njia za nguvu za giza. Ngumi za nini? Kwa Afrika asitudanganye mtu yeyote yule kwani hakuna mbunge ama waziri asiye mchawi. Kama urogi, basi wenzako watakumaliza tu, upende usipende.
ReplyDelete....lakini kweli, ebu jiulizeni kiongozi gani TZ asiye mchawi? Jibu hapa ni hakuna kila kiongozi si wa upinzani wala ccm, wote ni wachawi. We fikiria mpaka leo hii serikalini kuna viongozi wa miaka ya 70 (enzi za tanu) cha maana wanachokifany hakuna kazi kulala bungeni. Unataka kuniambi hakuna vijana wenye akili shanda hawa viongozi. Jibu tupo ama wapo ila tunaogopa kufanywa mandondocha majimboni mwa baadhi ya wenzetu.
ReplyDeleteKweli vingozi wetu wachawi na ndio maana ile nchi haiwezi kamwe kuendelea. Viongozi akili kichwani zimeoza wataiongozaje ile nchi yenye mahitaji muhimu. Toka tupate uhuru mpaka leo hii bado umeme na maji tatizo, si ujinga huu? Miaka mingapi sasa toka uhuru?
ReplyDeleteUngeweka na watani wetu wa Jadi huwa nao wanazichapa pale parliament Hall.
ReplyDelete...the next itakuwa dodoma. Usiwe na shaka
Huyo mbunge wa JAPAN ni muhuni tuu.. Anamshika Maziwa huyo mama:))
ReplyDeleteya uturuki ndo funga kazi mngeweka na ile ya watani wa jadi wao walirushiana viti kabisaa yani kwetu chama kimoja tu ndo kina ubabe mkileta za kuleta mnafukuzwa wote bungeni na chama kinafungiwa kabisaa haya mabavu iko siku yatakwisha tuu hata kama ni karne ya hamsini
ReplyDeleteAnkal mbona unataka kuhatarisha usalama wa taifa!!
ReplyDelete(US Blogger)
Kuna ile ya Somalia nayo, bahati mbaya sina picha....wa kwetu na nafasi ya kuuchapa uzzzzzzz ipo, kwa haya mabunge ya wenzetu kuna kusinzia kweli hapo?
ReplyDeleteNa wote nchi zao zasonga mbele kimaendeleo. Sisi tunaojifanya waamani ziiiii!
ReplyDeleteYa Uturuki ndio imefunika ikifatiwa na ya India.
ReplyDeletemabunge ya kiafrica wanapigana kwa nguvu za kiza ( uchawi ) tena hasa Tanzania , ukitaka kuwa mbunge lazima ukaandaliwe usiingie hovyo hovyo unaweza ukawa kafara ya wengine, KUHUSU ZNZ INABIDI CUF WAWAPIGE CCM NA MADURIANI na SIO MASHOKI SHOKI KWANI YATAWAKUNA TU.
ReplyDeleteKaka umesahau ya Kenya !!!!
ReplyDeletekikubwa hapa bongo utakuta mbuge katoka uko smtyms na hangover, anachokiongea kimeandikwa and worse hajakiandika yeye,. then its biring unakuta viazi wenzake wanalala
ReplyDeleteAsilimia 50% kwa 50% Bungeni(Wanawake na maendeleo)Mtajiju!!
ReplyDeleteHUKU WANAPIGANA KWA STYLE YA NGUVU ZA GIZA! LOL!
ReplyDeleteebwana ni kweli ya somalia ndio mwisho wa reli, hizi picha niliziona othmanmichuzi blog. Pia kuna ndugu zetu wa malaysia hapa picha yao sijawaona, ni kwanini michu umebana? plz weka zote
ReplyDeleteHiyo ndio ishara ya maendeleo huku kwetu lini zitapigwa?
ReplyDeletesasa wazipigie uchawi watamuachia nani? In any country ukiendekeza uchawi basi ujuwe unafuta na maendeleo kabisa. Unataka kuniambia Kikwete haoni matatizo ya nchi yake, na kama anaona nini anafanya? Yaani TZ is a mess, hivi kikwete kama raisi wa nchi haoni haibu kupokea mikopo kila mara na haleti maendeleo nchini? Na kama atakuja kutokea mbunge yeyote bungeni atakayepiga wenzake, I promise you huyo mbunge hawezi kuishi zaidi miezi sembuse mwaka. Yaani lazima tu watamfanya msukule kina Kingunge na wenzake. This is a shame for real.
ReplyDeleteSisi watanganyika tuna amani ya upumbavu na woga na ndio maana tutabaki hapa tulipo mpaka kiama hakutakuwa na jipya.Kwani hata nchi zilizopigana vita zinajitihada kuliko sisi.Wazembe halafu tunakenua meno huku wakitucheka
ReplyDeleteMSILALAMIKI TU HUU NI MWAKA WA KURA FANYENI KWELI, IPENI NCHI CHAMA KINGINE, NA KATIBA IBADILISHWE IWE NA KIPENGELE KINACHOWAPA WANANCHI NGUVU YA KUIONDOA MADARAKANI SERIKALI MBOVU WAKATI WOWOTE ULE, NENDENI MKAJIANDIKISHE MPIGE KURA ONDOWENI WAZEE MADARAKANI, SIYO KILELE TU
ReplyDeletenimecheka apa natapika khaaaa
ReplyDeletekweli tutafika tu,tena bunge letu adi FFU waje waamue ngojeni wenye akili/wataka mageuzi waingie bunge
now hakuna kitu pale matope/upupu mtupu tulionao
Hivi we anon unayewashauri wenzako waende kufanywa msukule bongo una maana gani. Yes ni kweli huu ni mwaka wa uchaguzi na ukae ukijuwa kuwa ukifika muda kama huu wabunge wengi hutoana kafara majimboni mwao ili waendelee kushika wadhifa bila kuleta maendeleo nchini. Waende vijana kule wenye akili ya maendeleo lazima watazimwa tu na hawa vingunge. Inasikitisha kwa jinsi wananchi wanavyofanywa wapumbavu. Bongo lazima maendeleo yaje, na lazima kina Mkapa, Mama Mkapa, Msuya, Mramba, na wezi wote wakamatwe baada ya nchi kupinduliwa. Huu ni ujinga, wewe ebu angalia TZ ilivyo na mali kibao lakini mpaka leo bado ni waombaji wa misaada nje, for what? Hivi kweli hata Kikwete haoni haibu akiulizwa na watoaji misaada, kwa nini aendezi nchi? We need a change we can believe in, siyo ukeketaji na uchawi kwani kwa hiyo tu hatutaendelea daima.
ReplyDelete