haya tena vijana wa enzi hizo tunaomba data tafadhali. ngoma hii inakukumbusha nini na wapi?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. US Blogger)
    Enzi hizo nipo pale mzizima, nimevaa rizon na afro, na suruali nyeupe flybottom.nipo darasa la 7

    Baada ya hapo nikaingia pale tambaza oys miaka ya themanini. baada ya tambaza nikaingia milimani mwaka 88 enzi hizo mie ndo wa kwanza ku grajueti na 1st class honas kwenye fakalti yetu.

    nilikuwa mkali haijawahi kutokea, na hatimaye kumaliza digirii yangu. baada ya hapo nikajitosa pale OXFORD na kutoka kidedea na masters na hatimae piechidi

    nimekuwa mchumi wa kwanza toka tanzania kupata heshima ya juu kutoka pale oxfordi. sasa nakula tu kuku kwa mirija, hela zinanitafuta tu, dolla millioni 5 kwa mwaka.

    kwa hiyo nakuja bongo kuishauri serikali namna ya kutunza fedha zake kwa ajili ya kura 2010 ambapo najua munene pale nyumba kubwa tanipa kazi ya kiranja wa hazina

    US blogger)

    ReplyDelete
  2. Mtaani kwetu kulikua na nyumba moja tu yenye bell,tulikua tukiring nakutoka baruti.

    ReplyDelete
  3. INANIKUMBUSHA SEA VIEW DISCO, RUNGWE OCEANIC DISCO , NA MZUMBE SECONDARY SCHOOL DISCO NA WATOTO WA KILAKALA GIRLS SECONDARY WAKATI HUO NIKIWA FORM ONE 1979

    ReplyDelete
  4. Enzi hizo nakumbuka Disco la Rungwe kwa Mzee Mwakitwange, Disco la Africana pamoja na Mbowe Hotels na Msasani beach Disco, mimi nilikuwa mtoto wa Disco, Nimesomea Kinondoni Muslim 1976 - 1979. Enzi hizo wasichana Dar tulikuwa wachache sana, wanaume wanatugombania kwenda kucheza Disco kila jumamosi hasa kaka zetu na rafiki zao na sio wapenzi isipokuwa ni company tu. Wakienda wanaume peke yao waturudi na ngeu kwa kugombania wasichana huko kwenye Disco.

    ReplyDelete
  5. Mbowe ya makuti

    ReplyDelete
  6. Mimi enzi za afro hairdo, viatu vya platform na pecos (bell-bottoms) nilipokua mwanafunzi, nilikuwa wikiendi nikenda sea view disco na Etienne's. Wikendi nyinginezo tulikuwa tukienda New Palace uani (baadaye Mbowe kabla ya Bilicanas), Splendid Hotel disco (sasa kuna Extelecoms building). Ukidandia usafiri safari ilikuwa ni Africana Disco na Kunduchi beach. Je kuna mdau yeyote anamjua Ray Abdul? Huyu alikuwa ni professional party dude. Kila disco ukenda ulikuwa unamkuta 70,s na 80's. Is he still around? Mimi Eddy.

    ReplyDelete
  7. US Blogger 101 resume yako inatisha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...