Pole sana na mihangaiko na mizunguko uliokua nayo. Mimi ni Mdau kutoka Malaysia nimeona niungane na wana libeneke wenzangu toka pande zote za dunia kuwa pamoja siju zote Sasa nimekutumia hii picha hii ni nyumba ambayo imejengwa ndani ya Maji,ipo huku Malaysia sehem inaitwa Putrajaya ni moja ya Vivutio maeneo haya. siku njema na kazi njema, pamoja tunawakilisha blog ya jamii.
Mdau Fredy Njeje.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...