wasanii wakijiandikisha kabla ya kuingia kwenye chumba cha semina katika ukumbi wa paradise city hotel jijini dar leo, iliyoandaliwa na waandaaji wa tuzo ya kilimanjaro tanzania music awards ikiwahusisha wasanii wa muziki wa kizazi kipya na cha kale ili kuwekana sawa ya namna uteuzi wa wanamuziki bora wa mwaka utavyokwenda.
msanii masoud ali kipanya (kulia) na
mwanasanaa mrisho mpoto nao wapo seminani
wakongwe motika 'mi mmasai' (kulia) na
Mgosi wa kaya wakibadilishana mawazo na Jay Moe
akiwa katoka kama Yondo Sister ni
Lady Jay Dee akipiga stori na Jaffaryhmes simba wa kaskazini Joe Makini (kati) akiwa na Mchiz Mox Kulia na mdau prodyuza Master J akiwa na AY na nanihii
Prezidaa Nyoshi el Sadaat akiwa na
nyota wapya wanaotesa kwa sasa Mansurii na Pacha wakila pozi
benjamin wa mambo jambo (kulia) akiteta na Frank Mdimu 'Zee la Nyeti' Kipanya (shoto) akiwa na Abraham Mosi wa Clouds FM mdau wakali Mo Rocka na AT wapo nao Dreez Chief (kulia) na mwenzie wakiwa wamebana ngenge
Mkongwe Kepy Kiombile wa Njenje (kati) akiwa na Afande Sele (shoto) na Super Minofu
Inspekta Haroun (shoto) akiwa na Mwana FA na C-Pwaaaa
Mwinyi wa Machozi band (kuloia) na mdau Upendo
Mzee mzima akiwa na Mwasiti na Barnaba wakiwakilisha
Hussein Machozi (nyekundu) na wenzie walikuwapo
Ras Inno Nganyagwa akiteta na Super Minofu na Hassan Rehani Bitchuka (kulia)
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapo niliowaona labda kuna mmoja tu anayejua kupiga ala ya muziki. Karibuni wote ni waimbaji tena siyo waimbaji Melodic ni waimbaji Rhythmic. Hao ndiyo wanamuziki wa leo wa Tanzania!
Swali la kizushi hii tuzo imepasishwa na nani kwa kufuata vigezo gani?
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...
Namuona Haruna na Mwana FA Vizuri kuliko malumbano hicho ndio kinachotakiwa.
ReplyDeleteJamani huyo aliyekaa karibu na plezidaa sio Achu wa Coventry,UK? Anafanya nini hapo?
ReplyDeleteAnkal huyo dada uliyemuita 'NANIHII' kwenye hiyo picha aliyopo AY na Master J ni nani?? nisaidies pls.
ReplyDeletehivi hao waliovaa miwani za jua ndani ya ukumbi ni vipofu au?
ReplyDeleteJamani mbona hiyo picha ya upendo hapo inaweza kuwaumiza wengi humu, aaaahhhhhh.
ReplyDeleteJamani!
ReplyDeleteHapo niliowaona labda kuna mmoja tu anayejua kupiga ala ya muziki. Karibuni wote ni waimbaji tena siyo waimbaji Melodic ni waimbaji Rhythmic. Hao ndiyo wanamuziki wa leo wa Tanzania!
Swali la kizushi hii tuzo imepasishwa na nani kwa kufuata vigezo gani?
Hivi zee la nyeti ni Frank Mdimu? kama jina limekosewa vile.. au macho yangu???
ReplyDeleteSimuoni the best bongo flava singer in Tz-Ally Kiba????????
ReplyDeletecha chandu-uk
hii!imekaa poa kweli,ffu nao lazima wapige gwaride
ReplyDeleteMbona hapo sikuomuona Jhikoman mkali wa Reggae?au ndio tunzo ya Reggae haipo?
ReplyDelete