DUBAI IS INSTALLING 50 - 70 BOXES....
Sleepbox - how about sleeping in a box
Sleepbox - how about sleeping in a box
when you are just passing by a large city?
quite
Size: 2 m x 1,40m x 2,30m to sleep in comfort and security.Cheap sleep in case of emergency for anyone rich or poor!!
No time wasted looking for a hotel
Designed to be installed at train stations
Designed to be installed at train stations
and airports, and central public places
or cities where acommodation is fully booked.
In tropical climate countries the sleepebox can be installed outdoors in main streets. The space includes bed, linnen, ventilation system, alarm. LCD TV, WiFi , space for your laptop and re chargeable phone.
Under your bed and floor there is a cupboard for your luggage. Payment is made at terminals who will give clients an electronic key that can be purchased for 15 minutes or for as many hours as you need.





Hii safi kabisa. niliwahi kusota kwenye departure lounges za Dubai kwa masaa zaidi ya 12 nikisubiri kuunganisha ndege ya Dubai-Dar baada ya kusafiri kutoka US (masaa 13 hewani)- kisa sikuwa na transit visa ya kutokea nje ya uwanja wa ndege, pamoja na kwamba Emirates walikuwa wamenifanyia booking ya hotel. Masaa 12 niliyaona kama siku mbili.
ReplyDeleteHAHAHA, HAPA WATAJUTA WATAKAOYALETA KWANI HASARA WATAKAYOIPATA SIJUI, KUTA ZITACHAFULIWA KWA KUJISHANYATA (WANYAMWEZI) WANAJUA MAANA YAKE MIMI SISEMI NA TAA TUTAZIGOMBEA HUO UBAO WA LAPTOP UNAFAA KUTENGENEZEA MEZA YA GENGE LANGU HALAFU SIJUI TUTARUHUSIWA KUINGIA NA CHAKI NA KALAMU?
ReplyDeletehahahaha hahahaaaa dah watu mmpenda jamani.
ReplyDeleteMdau wa pili nimeipenda comment yako..dah yani niko hoi kwa kicheko
wabangaizaji wa hongkong washazoea kulala staili hiyo
ReplyDelete