KUNA TATIZO LIMEJITOKEZA NASHINDWA
INGIA KWENYE EMAIL YANGU YA YAHOO YA
SHAMYOMY@YAHOO.COM
NAHISI NIMEHACKIWA SABABU INAONEKANA IKO ONLINE NA MTU AKISEMESHWA ANAJIBU.....ILA SIO MIMI

ANGALIZO :: NAOMBA YEYOTE ASIJE AKARUBUNIWA NA YEYOTE KUPITIA EMAIL HIYO YA
SHAMYOMY @YAHOO.COM

kwa sasa tumieni
Asanteni
Shamim Mwasha 'Zeze'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. jamani naombeni mnielezee hii kitu mi sielewi elewi vzr, pls anybody explain to me

    ReplyDelete
  2. hi,
    mimi najitolea kukusaidia kuipata email yako upya...just say yes or no kama unaitaka....

    ReplyDelete
  3. Nenda kwenye webpage ya yahoo, bonyeza link ya i can't access my e-mail, nenda kwenye my account have been compromised. Fuata maelekezo Yahoo watakusaidie kuizuia isitumike kwa muda wa masaa 48.

    ReplyDelete
  4. shukran nishafanya hivyo

    shamim

    ReplyDelete
  5. Na next time acha kutumia public computers to access your email.....kila siku huwa ninawaambia wabongo, public computers are never safe....so be careful people.

    ReplyDelete
  6. Mdau wa hapo juu kutumia public computer sio tatizo,unaweza kuhackiwa popote pale unapotumia,tena kuhack email ni simple sana website ndo kazi kidogo.

    Computer Eng.student.
    ubatani.

    ReplyDelete
  7. hivi kilo unaongelea kutoka wapi? public computers ndio zipi? halafu 'wabongo' watumie zipi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...