
The plush surroundings of all those Ritz Carltons and Four Seasons have disappeared. These days, Hasheem Thabeet(notes) rests his head in a two-star motel in chilly Bismarck, N.D. Gone, too, are the charter flights and all the legroom they afforded.
Eight months ago Thabeet was celebrating his selection as the second overall pick of the NBA draft. He now holds a new distinction: the highest pick ever to be sent to the NBA’s Development League. That’s not to say Thabeet has lost all his star power: In honor of his arrival, the Dakota Wizards discounted general-admission tickets for Wednesday’s game to $2.
For Thabeet, the D-League is home, at least for a little bit, and he’s determined to make the best of it.
People in the NBA are “definitely looking at it negatively,” Thabeet said. “ ‘He’s the No. 2 pick. He’s not supposed to be there. I can’t believe that guy is over there and he’s the second pick.’ But you got to go and work your way up there. I’m working my way up here, working on my confidence.
“When the time comes, I’ll be able to answer the call.”
Eight months ago Thabeet was celebrating his selection as the second overall pick of the NBA draft. He now holds a new distinction: the highest pick ever to be sent to the NBA’s Development League. That’s not to say Thabeet has lost all his star power: In honor of his arrival, the Dakota Wizards discounted general-admission tickets for Wednesday’s game to $2.
For Thabeet, the D-League is home, at least for a little bit, and he’s determined to make the best of it.
People in the NBA are “definitely looking at it negatively,” Thabeet said. “ ‘He’s the No. 2 pick. He’s not supposed to be there. I can’t believe that guy is over there and he’s the second pick.’ But you got to go and work your way up there. I’m working my way up here, working on my confidence.
“When the time comes, I’ll be able to answer the call.”
For Source
Safi Thabeet,kazi ni moja tuu piga mazoezi kwa bidii na uwe more aggressive kwenye board,hata Jordan mwaka wa kwanza ulikuwa mgumu maana alivunjika mguu,hata number one pick wa mwaka wenu naye afya inamsumbua,kila mtu ana matatizo yake lakini ni juhudi zako tuu za mazoezi zitakusaidia...usisahau mazoezi kwa bidii zote na weka 100% maana hakuna mikato.
ReplyDeletena wabongo wafute fanya mambo yako kwa siri, wasijue manake ndio wanaokucheka
ReplyDeleteSasa hivyo walivopunguza bei ni sababu hashim anataka kutuomba msamaha na ile comment yake ya "my paycheck is still the same" tuone kuwa hapendi pesa au? ndio mbinu za kutafuta biashara?
ReplyDeleteI hope he has learned his lesson...
ReplyDeleteHuku marekani kuna warefu kibao zaidi tena ya hashim so akizembea zembea tena kutwa kuenda kwa wabongo tu ndio anaukaribisha mwisho wake. usitegemee tu urefu tegemea na kipaji chako. kazi kwako.
ReplyDeleteHongera kwa ndugu yetu Hashim, mambo ni hivi inabidi ufanye kazi ya ziada kurudi kwenye timu yako, maana yake kwa sasa wamekuwekea swali BIG QESTION MARK. Naona unatafuta jibu. Kama umefumbuka macho kaza buti. Mambo ya is still the same pay check is bull shit! focus
ReplyDeleteBaada ya hashim kuongea mambo ya paychek na nini ilitakiwa atoe statement ya kukanusha hicho alichosema kusudi asionekane ni greedy, manake ulaya huku mambo yakizidi watatumia maneno hayo hayo (yake mwenyewe) kummaliza. Goodluck bro.
ReplyDeletehawa wasije kuwa wanamdanganya unafanya vizuri sasa kusudi tu ajione halafu wamteme vile vile, kaa chonjo hashim
ReplyDeleteKweli mshahara wake bado uko pale pale, lakini kama nilivyokuwa ninamuona pale MSG na majuzi pale IZOD Center ingekuwa vyema kama angekuwa bado yuko NBA ya wakubwa.
ReplyDeleteNakusubiri ndugu utusaidie kutangaza jina la Tanzania, maana mpira, riadha na ngumi bado wanajivuta.
Nitatoa mchango wangu wa kiingilio kuchangia mshahara maana huo ndio uwezo wangu katika kukuunga mkono.
Piga zoezi tunakusubiri HT.
http://sports.yahoo.com/nba/news?slug=mc-thabeetdleague030310&prov=yhoo&type=lgns
ReplyDeletekwa yoyote anaetaka habari hizi manake wanamcheka hata huku marekani, labda itamsaidia kung'arisha nyota yake sababu hakuna anaemjua huku marekani.
Jamani wanandugu Hasheem anahitaji encouragement sio kum-beza. Tumuombee na kumtakia kila la kheri. Akikosa ni aibu kewtu sote hata na akipta ile tu kumwiita Mtanzania mimi yanitosha kabisa kujivuna. It pains me to see some being gleeful about his demise. What a shame!
ReplyDeleteThe plush surroundings of all those Ritz Carltons and Four Seasons have disappeared. These days, Hasheem Thabeet(notes) rests his head in a two-star motel in chilly Bismarck, N.D. Gone, too, are the charter flights and all the legroom they afforded.
ReplyDeleteEight months ago Thabeet was celebrating his selection as the second overall pick of the NBA draft. He now holds a new distinction: the highest pick ever to be sent to the NBA’s Development League. That’s not to say Thabeet has lost all his star power: In honor of his arrival, the Dakota Wizards discounted general-admission tickets for Wednesday’s game to $2.
The Memphis Grizzlies decided they couldn’t pass on Thabeet’s potential to become a shot-blocking giant when they drafted the 7-foot-3 center. A second-team All-America from the University of Connecticut, Thabeet drew comparisons to former NBA defensive great Dikembe Mutombo(notes). In doing so, however, the Grizzlies passed on more NBA-ready prospects like Tyreke Evans(notes), James Harden(notes), Jonny Flynn(notes) and Stephen Curry(notes).
Thabeet’s high draft selection earned him a $4.5 million salary for his rookie season, and he admits to feeling immense pressure to succeed immediately. His contributions, however, were much more modest: Before being sent to Dakota, he was averaging 2.5 points, 2.9 rebounds and two fouls in 10.3 minutes per game. He’s struggled to adjust to the quicker pace of the NBA and his offensive skills still need considerable refining.
ukisoma hiyo link yote unaona inamsaidia manake watu wako nje wanasubiria asaini vitu vyao na nini, so akiwa anafuatilia kazi atarudi tena NBA. na mshahara wake ni 4.5m sio kama vile watu walivyosema 5m acheni uongo jamani kutaka kumshusha kijana wetu.
ReplyDeleteAnony wa March 4 02:53:00 wamepunguza bei za viingilio vya kwenye game kwa sababu mashabiki walikuwa hawaendi sana kwenye hizo game za hiyo timu, sasa kwa sababu wamesikia mchezaji mkubwa ameletwa kutoka NBA, ambaye alichaguliwa namba 2, mashabiki wameanza kumiminika uwanjani kwenda kumwona na kupiga picha ili wasiikose opportunity hiyo pindi akirudi NBA..!! Ni mambo ya akili ya biashara ambayo timu imefanya kujiongezea mapato ya hela kupitio viingilio!
ReplyDeleteWatanzania tuelewe kitu kimoja hasa kwa wale msioelewa kanuni hii ya wachezaji kupelekwa D-League, ni kwamba kama ukisaini mkataba wa miaka mitatu na timu kwamba utalipwa kiasi cha pesa kadhaa mfano $1,000,000 hicho kiasi kitabaki pale pale ndani ya hicho kipindi cha miaka mitatu bila kupungua wala kuongezeka..!! Kinachotokea kwa Hasheem ni kwamba amesaini mkataba na Memphis wa miaka mitatu kwa kile kiasi ca $4,000,000, yeye kupelekwa kule D-League mshahara wake unabaki pale pale kwa sababu yupo ndani ya mkataba wake. Mkataba wa NBA hauwezi kuvunjwa ghafla kama kwenye mpira wa miguu na mchezaji kununliwa na timu nyingine, havitokei hivyo vitu kwenye basketball. Kitu kingine Muelewe ni kuwa kama mlisoma statement ya kocha na meneja mkuu wa Memphis ni kwamba Hasheem amepelekwa pale kama Assignment ambayo nikiitafsiri kwa kueleweka zaidi ni kwamba amepelekwa akazoee mchezo (minutes), akafanyie kazi ushambuliaji wake (offense) na pia hapo kwako ni kama kipimo cha kwamba kweli anamudu uchezaji wake au la..!! Kwa hiyo msifikirie pale alipo ni kama maisha yake tena, no, ni assignment fupi ya kuboresha uchezaji wake na uzoefu wake na atarudi tena kwenye benchi la Grizzly akitokea kama substitution once again. Najua hatufuatilii vitu kama hivi lakini ukiangalia karibia kila mwezi atleast timu moja inashusha mchezaji akafanyie kazi aspect fulani ya mchezo wake then in about two three weeks wanamuita tena aje afanye kila alichoenda kukifanyia kazi.
ReplyDeleteMdau Marekani.
kamichu, vizuri ukiwa unatutafsiria manake wengine kiingereza hatujui.
ReplyDeleteR.I.P Mwalimu
Katika kusoma hiyo link uliyoweka michuzi, ni wazi jamaa ataishia kun'gara huko vijijini. Yaani hapo angeomba ruhusa arudi nyumbani japo afanyiwe "KAFARA" la nguvu aombe radhi kwa wakubwa halafu mambo yake yote yangekaa vizuri. Mshauri michuzi wewe uko nae jirani, mwenzetu anazidi kwenda chini.
ReplyDeleteHaya sasa na aseme na hawa wana bifu na yeye. Ukweli ni kwamba Hashimu kawa demoted, kama hakubali hii demotion basi sijui tutamsaidiaje.
ReplyDeletekwi kwi kwi.....
ReplyDeleteHasheem amelichukulia suala hili in the right spirit. Ni nafasi kwake kujiimarisha kiwango ili akirejea NBA arejee kwa kishindo.
ReplyDeletekuteleza sio kuangua na marehemu alliyah aliimba 'if you dont succeed just dust off and try again" so msijifanye mabingwa wa kukosoa humu ndani kila mtu ameshawahi kukosea mahali flani katika maisha so sio mumsakameeeeeeeeee kama vile alitumwa na kijiji chukueni time kule wengine hata hamjui mtakula nini kutwa mko bize kumnanga mwana wa mwenzeu na nyie wengine huko mbele pigeni box acheni mtima nyongo hata kama nikweli kinawauma nini??? wanaharibu maraisi mawaziri ndo huyo mtoto bado mbichiii acheni hizooo kama vile nyie malaika hata shetani naye aliharibu huko kwa Mungu acheni kushumpalia kama vile nyinyi ndo mnamwezesha!!!
ReplyDeleteBest wishes Man, Kaza boot
ReplyDeletehttp://www.commercialappeal.com/news/2010/mar/02/nothing-net-thabeet-trying-find-way-back-nba-north/?partner=RSS
J the 1
Hongera jibaba Hasheem. You made a front page kwenye yahoo, NBA lottery pick's historic demotion. Najua unajisikia kama kinyesi sasa hivi. I think you deserve it. Kuna watanzania wana-make millions hapa marekani lakini hatujitangazi. Wewe ku-sign up na viji-chenji tu mdomo mkubwa. Haya sasa, enjoy the charters while we still fly on private jets. I hope you'll learn your lesson mpuuzi wewe
ReplyDeleteKaza buti Hasheem!
ReplyDeleteWacha Wanataaluma walio tayari kuleta mabadiliko ya kimaendeleo nchini ndio wafanyiwe minuso ikulu sio eti hawa wacheza basketball wachanga hawa na watoka BBA wanaojidhalilisha mbele ya luninga!
mhh watanzania tuna matatizo sana yaani ukisoma hizo comment utachoka mara kuna watu wanahela sijuwi nini kwani yeye kuja kupokewa na waziri aliweka tangazo kwenye radio na Tv za bongo watu waje kumpokea au ni vyombo vya habari vya nchi hii mbona mnamsakama mwenzenu roho mbaya hazijengi kabisa mhh watu waajabu mara hiki chamuhimu nikumuombea afanye mazoezi ya kutosha na hizi comment za kumpa hasira wala asiziendekeze achukue kama changamoto na ndio ajuwe mafanikio yake sio kila mtu annayafurahia
ReplyDeleteHashim, mdogo wangu, asikudanganye mtu, we' kama unataka kurudi NBA, usihangaike na mazoezi wala nini, nenda home chap chap, ukishuka uwanja wa ndege pale Dar, usiende Sinza wala wapi, nenda moja kwa moja Mlingotini Bagamoyo. Baada ya siku tatu tu, utasikia unaitwa tena NBA.
ReplyDeleteachana na company za wabongo kukesha kwenye maparty ya ajabu ya wabongo wasio na kazi halafu eti we ndo mfadhili halaf unaenda mazoezi umechoka ukidrop hawatakukumbuka tena si unajua wabongo tulivyo ahoooo
ReplyDeleteBinafsi ninaomba Hashim uyafanyie kazi mambo yafuatayo:
ReplyDelete1. Jaribu kufunga point tatu. Najua una wasiwasi lakini huwezi fanikiwa kama haujaribu, jaribu hata sita kwa game, tatu au nne utazipata.
2. Jaribu kushambulia kivyako kama wenzako wanavyofanya, siyo lazima usubiri pasi toka kwa mtu, chacharika
3. Usijifiche nyuma ya mtu mnapokuwa mnashambulia, wenzako wanashindwa kukupa pasi na unaonekana unatega.
4. Rebounds, unapokuwa eneo la goli, usinamishe kichwa chini, tazama juu, mwenzako anapojaribu kufunga ruka juu ili mpira ukidunda goli tu wewe uwepo kuutumbukiza, si mpaka usubiri udunde kwanza ndo uruke unakuwa ushachelewa na adui anachukua.
5. Avoid sana rafu, hizo zinakufanya ushuke thamani
6. Unapofanya jambo jema uwanjani, kwa mfano umefunga au umeblock shot, onyesha mzuka, Grehhhhe, wamarekani wanapenda sana hizo na zinaonesha unajiamini na hujabahatisha kwa ulichokifanya. Zaidi zinakufanya ujiamni pia, ukizifanya sana, hata woga unaondoka. Ni cosmetic issues lakini zina thamani sana kisaikolojia, hata mpinzani wako uwanjani utamtia wasiwasi kiasi anakuachia mipira. Kin King James wanafanya hizo.
7. Nakutakia mafanikio mema, najua Hadad alikuwa huko juzi kati hii, wewe na Hudson sasa. Watu wanataka kuuza magazeti kwa kuiandika negatively. Wewe unajua unachokifanya na kilichokupeleka NBA, fanya hayo niliyokuagiza na zingatia maelezo ya kocha.
8. Watu wanasema eti uenge gym, nyama unazo za kutosha sana tu kushinda hata kina Kobe, unachotakiwa kufanya ni ku boost morale na kuhakikisha unafanya kila juhudi kufunga point nyingi kila gemu kwa muda mfupi utakaopewa uwanjani, hilo tu. Nakukumbusha, jaribu kufunga point tatu.
In the end,,,,our senseless comments doesn't mean anything..
ReplyDeleteThe point is our brother has not peformed to the set NBA standard, the question is why? Well, he is not the only one to have a hard time in the beginning of their career with NBA...
The following qtn is what can he do to regain the momentum he had in college?
I think he needs a big big focus, hard work, determination, and for sure concentration... Ukileta za kibongo, unalala saa 12 asubuhi unaamka 7 mchana, its not gonna work...
People are makin millions in this game not for the mere reason of being hired, but b'se they put time into it...Hasheem has to do the same
nadhani Hashimu alifanya u-Taiga Wudi kwa mademu kadhaa ambao ni roho ya wadau humu.maana baadhi ya maoni yamekuwa makali mno.
ReplyDeletehe was born human and so as all of us.WE ALL MAKE MISTAKES sometimes.Yeye alizembea,na ndilo kosa kubwa lkn kashalijua kosa lake basi ni wakati wa kumsapoti.kama suala la aibu na mambo mengine yeye ndiye muadhirika.nobody here has anything to loose.
just give him 5,he tried and still he's.
Shule kitu muhimu, ulimbukeni wa nyumbani ukiuleta huku utashangaa unapoteza kila kitu, huku juhudi ndio ngao ya kila mtu, kitakachokujenga au kukubomoa ni juhudi na maarifa, sifa na dharau ni adui mkubwa wa maendeleo, kuna mifano mingi unaweza kuiona, kina kobi na tiger, acha matanuzi yasiyo na msingi, usipende sifa, angalia watu unaojihusisha nao. Pia ukipata muda kidogo hata nusu saa soma vitabu ama tafuta mwalimu abadilishe muonekano na maendeleo ya lunga ya kiingereza, ingawa kingereza cha marekani ni cha ovyo. Lugha itakufanya ujichanganye na watu wenye maana na kukusaidia, hivi hata ukisaini unajua unasaini nini ama una - mkalimani? wabongo karibu yako naona kama MAIMUNA TU?
ReplyDeleteKwa mara ya kwanza nimeelewa baada ya kusoma kumenti ya anon wa Thu Mar 04, 07:01:00 AM, Tatizo watu wangi wanakuwa na maelezo mengi yaliyojaa hasira zilizo jaa chuki fulani na handikwa kwa kiingereza sisi tusiojua kuzungu mnakuwa hamjatushirikisha. lazima mimi na wewe tuelewe kwamba hashim ni binaadam naye hukosea na hata akitereza kama binaadam aelezwe kwa busara.
ReplyDeleteMdau Tukuyu, Mbeya
McMuga huyoooo au Ngapulila? au Kaka Ford? wote waliimbwa kuwa na skendo flani flani za "ujana"... Infact huyo Hashim si wa kwanza na hatokuwa wa mwisho kamwe.. kuna watu wanatoa komenti humu watakuja kufilimbaa tutashindwa kuwasaidia hata kwa hizi komenti tunazomshambulia nazo mtoto wa watu..
ReplyDelete