Bi.Stephania Ntilatwa wa Arusha ndiye amejishindia zawadi ya tiketi ya kwenda kushuhudia kombe la Dunia Afrika ya kusini baada ya jina lake kuibuka kidedea wikiendi hii wakati wa kuchezesha droo ya pili ya CRDB Bank ya "Shuhudia kombe la Dunia la FIFA 2010 na TemboCardVisa" ambayo imepata umaarufu usio wa kawaida nchini kote

Washindi wengine wa droo hiyo ambao
watapokea zawadi mbalimbali ni:

2.Diop Chimere :Alishinda LCD TV iliyounganishwa na kingamuzi cha DSTV
3.Hannah Mwandoloma : Alishinda LCD TV
iliyounganishwa na kingamuzi cha DSTV
4.Ben Robbins : Gift pack
5.Neema Mwenya: Gift pack
6. Philemon Julius : Gift pack
7. Suzan Mlawi: Gift pack


Baadhi wa wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakipozi na zawadi zilizoshindaniwa
Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB Bw. Malela Athumani akiongea na waandishi wa habari juu ya droo ya pili ya Shuhudia Kombe la Dunia la FIFA 2010 na TemboCardVisa
Mdau akipekua sanduku kuchagua kuponi lenye jina la mshindi wa droo ya pili ya Shuhudia Kombe la Dunia la FIFA 2010 na TemboCardVisa
Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB Bw. Malela Athumani akisoma jina la mshindi wa bahati nasibu hiyo ambapo Bi.Stephania Ntilatwa wa Arusha aliibuka mshindi.Huku akishuhudiwa na Afisa wa shirika la Bahati Nasibu la Taifa Bw.Abdalah.M.Hemedy ( katikati mwenye shati jeusi).




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. mmmh! hapo chacha! wakaka wazuri tena bado vijana! lkn ndo tayari wana vitambi! INASIKITISHA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...