Meneja wa timu ya Taifa ya wanawake Tanzania, 'Twiga Stars', Furaha Francis (kushoto), akipokea msaada wa mipira mitano kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Mashujaa Entertainment Group, Yohana Mlawa kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kusaka tiketi ya Fainali za Mataifa ya Afrika kwa wanawake dhidi ya Eritrea katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Magereza Ukonga leo. Katikati ni Nahodha wa timu hiyo, Sophia Mwasikili na kulia ni Meneja Masoko wa kampuni hiyo, Tumaini Manzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...