
At first nilipoiona hii picha nikasema ni nini tena jamani??
Kuja kusoma what was written ni kwamba mdau anauza Juice,
nido moja ni USD 10……
Mteja ukimaliza linawekwa nido lingine…mwisho wa siku dada kashamake mkwanja wake….
Mteja ukimaliza linawekwa nido lingine…mwisho wa siku dada kashamake mkwanja wake….
Jamani ukiwa na biashara ni vizuri ukabuni
kitu kama huyu mdada ili kuvutia wateja…..au sio?!
mdau albert
mdau albert


Aib
ReplyDeleteballa adab
The end does not justify the means, in this case the worship of filthy lucre
Wakatabahu
kwa wateja wa kibantu watataka kunyonya huku wakipapasa mgongo na makalio
ReplyDeleteSijapendezwa na mtindo wa ubunifu wa biashara ya aina hiyo kwani inaashiria kitu kingine zaidi ya maana ya kukata kiu ya kawaida. Shetani anasifika kwa kuzingua watu ubunifu unapoendekeza uenezi wa maambukizi ya kinga mwilini. Not all glitters are gold!
ReplyDeleteI need this.
ReplyDeletentampata wapi? nina hamu ya juisi.
we albert wengine tuna heshima zetu uwe unasema albert who! hujatulia wewe
ReplyDeletesasa huyu mwanaume hapati hamu naona suruali imeshalowa macho kalegeza
ReplyDeleteutamu huo hasikii hamu huyo
ReplyDeleteda kwahiyo haoni utamu mbona analembua
ReplyDeleteNaruhusiwa kumkumbatia wakati nakunywa??
ReplyDeleteMBONA HUJAELEZA UBUNIFU HUO UMEFANYIKA WAPI MAANA HAPA BONGO FASTER ANGESWEKWA LUPANGO.
ReplyDeleteBONGO ZIPO BUNIFU ZINGINE MAENEO YA KARIAKOO NA MNAZI MMOJA ZA VINYOZI WA KISOMALI JAPO ZINAFANYWA KWA SIRI YA KUOGOPA KUSHUGHULIKIWA LABDA NI WAKATI MZURI WAJITANGAZE.ILIKUWA BUKU TANO KWA KICHWA ZIJUI SASA BEI IMEFIKA WAPI?
Mdau tupe datazz ubunifu gani unafanywa na wasomali hapo kariakoo
ReplyDeleteMICHUZI UNAJUWA MUDA MWENGINE HATUJUI KAMA WATOTO NAO WANAINGIA HUMU TUWE TUNAFIKIRIA PICHA KAMA HIZI KABLA KUTUMA NAJUWA SI PORNO NI ARTS ILA KWA NCHI YETU TUWE MAKINI NA HIZI PICHA, MCHUNGAJI JAMES.
ReplyDeletealbert fisi
ReplyDeleteHello Whasup,
ReplyDeleteDman...!! Kumbe tuko na wachungaji humu ndani,well point taken for next Sunday service. Mimi nionavyo hii sio biahsara inayo-exist humu popote duniani, kama ipo basi ni biashara haramu. Juice inauzwa $10,ya "breastfeeding/drinking", muuzajia na mnunuajo wote macho yako in aptosis condition...??!!! .
Ikija mbona mbona huyo mtu atakuwa millionear.
WEWE MDAU WA Thu Mar 18, 06:40:00 PM KWANI WATOTO WAKIONA KUNA TATIZO GANI,HAWANYONYI/HAWAKUNYONYA MAZIWA YA MAMA YAO?KAMA WALINYONYA IS THE SAME APPLIED.
ReplyDeletewewe mdau wa 09:44:00pm huna nidhamu si mambo ya utotoni yaache hukohuko, mama yako wewe kwa sasa hawezi kukuonyesha matiti yake achilia mbali kuyanyonya, na ile njia uliyoingilia duniani hawezi akaiacha uione eti kwa sababu utotoni ulipita hapo. Na hata ulipozaliwa ulikuwa unalala na wazazi wako chumba kimoja achilia mbali kitanda kimoja lakini sasa hufanyi hivyo, kwa hiyo tusishabikie upumbavu
ReplyDeleteHuyo dada anayeuza juisi akiwa ni dada au mama yako wewe utaenda kununua halafu unywe kwa njia hiyo?
bmk
uk
Aisee hii nimeipenda sana. Wabongo amkeni mambo kama haya yanatakiwa Coco Beach, Kipepeo, Sunrise, etc.
ReplyDeleteUoga wako ndio umaskini wako.
NA JOTO LA BONGO MBONA WATEJA WATAKUWA WENGI
ReplyDeleteNitaiga ubunifu ila nitakuwa nauzia juisi yangu kwenye kibomba cha plastiki kilicho maeneo ya chini ya kitovu.
ReplyDeletehii kali!
ReplyDeleteMMMH UBUNIFU POA ILA KWA HALI YA HEWA YA KWA JAKAYA NA KINA MWAJUMA NDALA NDEFU WA MBAGALA SIJUI ITAKUWAJE AKIWA ANAFANYA BIASHARA KAMA HII MAANA HATA PERFUME KUNUNUA TABU SASA UKINYONYA MANIDO NA KIKWAPA KIPO KRIBU UNAWEZA UKASTUKIA UKO MWANANYAMALA HOSPITAL KWA KUKOSA HEWA SAFI HIHIHIHIHI.
ReplyDeleteAhsante MDAU WA Thus Mar 18, 10;29;00PM umempa jibu zuri sina haja kumalizia.
ReplyDeletejamani vitu vingine havipendezi, na hii haipendezi kabisa, tujaribu kumwogopa Mungu.
ReplyDeleteheshimu wanawake wee michuzi
ReplyDeleteusiweke mipicha yako yenye kuhdalilisha wanawake!!
nyambaf
Haaa,hii haijatulia. Hivi mkeo akikukuta unanyonya juice hii itakuwaje? Hivi binti yako aliyeko form six akiwa na rafiki zake wanaenda tuisheni, wakukute pale mnazi mmoja umening'inia kwenye kiuno cha mdada eti unanyonya juice kifuani kwa mdada, atawatazamaje marafiki zake? Hivi baba na mama mkwe zako wakikukuta umejipinda huku umefumba na macho kusikilizia utamu wa juice,kisha mkutanisha macho,hiyo shikamoo baba utaweza kuitoa au utashikwa na kwikwi?,hivi mchungaji wako,shehe,padiri akikukuta je utamwonyesha upendo naye umununulie moja au utakimbia.Mwenye ufahamu na aelewe dunia inaelekea kubaya.Hili ndilo NENO la leo ,mtoa NENO awaambia wanadamu
ReplyDeletegreat idea! We need that on TZ beaches and pubs but filled with BEER!
ReplyDeleteWe Misupu, kuwa na adabu kwa mama zako. Unawezaje kuweka picha kama hii ukisema kuwa ni ubunifu. Hii ni kuchochea ukimwi. Jitahidi kuchuja picha za kutuwekea hata kama una hiari. Blog yako inatazamwa na wengi wakiwemo watoto na watu wanaojiheshimu.
ReplyDeleteUmetudhalilisha wanawake, jirekebishe.
MTOANENO hapo juu umenifurahisha sana kwa uchambuzi wako yakinifu tatizo watu hawaangaliagi mbali ubarikiwe sana.
ReplyDeletebulshit.....is not our calture guys
ReplyDeleteUPUUUZI MTUPUU ACHENI VITU VYA KIJINGA WABONGO MNAIFUNDISHA NINI JAMII KWENYW HII BLOG? MICHUZI SASA NAONA UNAPANDA KITANDANI NA VIATU
ReplyDeletemimi naitwa mjomba nipo Ukraine..duh nimeipenda sana hii juice jamani hadi raha yaani nina hakika hapa mtu hata kama hana kiu atakunywa hata kama ya dola elfu bila ya kufikiria...
ReplyDeleteSasa hii tisa kumi ya kwangu nakuja na modo wa kiume, kitu cha kunyonya kinachomoza chini ya kitovu ... na siweki juice kutakuwa na vinywaji vya wakubwa tu.
ReplyDeleteIli kutunza so called maadili ya Mtanzania sitauzia beach ila sehemu zilizojificha kama bar na clubs.
Astaghafirulah Michuzi? unakubali kuweka vitu hivi hapa? sasa naona inabidi urudi nyumbani tukusomee na ujisomee. Hawa vijana unaokutana nao kwenye mialiko wanaanza kukupoteza sasa. Sheikh Khalfan
ReplyDelete