
ni Sweden Ulaya,Mji wa Karlstad hauna maji toka jana usiku
nilipowauliza wenyeji wanasema hii hali mpaka kesho au wiki huenda
iishe yaani jtatu hahaha ndio maji yatapatikana vinginevyo lazima jitihada za makusudi zifanyike ndipo kupigike mswaki na kukoga.
Hali hii si kwa upande wa maji hata umeme unakatikaga (uzuri ikitokea itilafu kama hii utasikia bosi muhusika kaachia ngazi) tofauti na bongo (utasikia mvumilie mkileta jeuri mtaendelea kulala giza) Ankal kiswahili changu cha kuandika kibaya sana yote yanatokana na kuwinda ndege wakati wa masomo
Mdau wa Iceland
Mdau wa Iceland
Basi huko hakuna tofauti na bongo kwani ulaya si jambo la kwaida kuzimwa umeme na kukosa maji kwa siku nzima wacha siku tatu.
ReplyDeleteNi kweli maji yamekatika baada ya bomba kubwa la kusambaza maji kupasuka. Maji yanatarajiwa kurudi mchana huu. Maji yaliyokatika ni maji ya kunywa tu ambayo uwezi kuogea wala kupigia mswaki. Maji ya moto yanatoka kama kawa. mbona nchi nyingi tu za ulaya hawanywi maji ya bomba? na maisha yanaenda. Mji ambao maji yatakuchukua muda kurudi ni Hammarös na magari ya maji safi yamewekwa kila kona ili watu wake wapate maji ya kunywa. huo ndio ukweli.
ReplyDeleteNa kuhusu umeme huwa unakatiaka kutokana na dhuruba za snow zinazoambatana na kimbunga. Sijawahi kusikia boss kaachia ngazi kwa sababu ya maswala ya nature na kijiografia. isotoshe umeme ukikatika kaya zote zilizokumbwa na ilo tatizi wanapewa offer ya kula hotel bure mpaka umeme urudi.
WEKA LINK KUSIBITISHA,ACHA UONGO NIPO HAPA SWEDEN HAKUNA HABARI KAMA HIYO.BINAFSI NINA MIAKA 6 HAPA SIJAWAHI KUONA KITU KAMA HICHO.
ReplyDeleteebana hii kali kuliko...labda hio sweden ya morogoro itakuwa,mm mwaka wa 10 huu sweden issue hii ndio naisikia kwako,ila mdau kakuelewesha labda itokee dhoruba ya snow,na kwa taarifa yako sidhani hata kama huko iceland unaweza kukulinganisha na sweden kwa mazingira bora
ReplyDeleteDuu!kuna watu wanajuwa kudanganya watu hiyo story ulivyoipamba hakuna mfano wake.Anony wa 12:40 amekupa picha hakika ya life hapa Sweden.Katika miaka yangu 24 ya kuishi hapa Southern Sweden sijaona hata mara moja mtu anafukuzwa kazi eti kipunga kimeangusha nyaya za umeme.Unaweza kutuma ujumbe wako bila kuongeza uongo na watu waka kuelewa points zako poa.
ReplyDeleteSökresultat Aftonbladet: Sveriges nyhetsportal angalieni hapa hata mm niliona hii inshu Niko Filipstad umem uku unakatika na maji uwa hayatoki sijui mnaongea nn
ReplyDeleteJamani mnapiga kelele tujue hampendi tuyajue matatizo yenu,,mm jamaa yangu aliwahi kuishi Sweden mda mrefu akaamua kurudi Bongo anadai ni kweli lakini sio katia miji mikubwa kama Gotanbarg Stockholm Malme na kwengine lakini miji kama Karlstad tatizo kma ilo linatokea.sasa wewe unaedai umekaa miaka 24 uko wapi au Kiruna,,
ReplyDeleteWabongo ughaibuni sasa hakuna inshu mambo yako hapa hapa Africa
Mmatumbi mmatumbi tuu hivi kwa ninimankataa ukweli mimi nilisoma Lund Univers... kule karibu na Malme mambo kama hayo yako sijui sasa hivi kwa kuwa siko uko,Tena tatizo lengine wenyeji wako kama wanyama kule mzazi ampandi mtoto,mtoto ampendi mzazi hii kuliko bongo kwani nyumbani mtaa na kuyaongea kifamilia sasa na ili nalo uzush?Kuna waziri mkuu yule aliendoka Goran Persson aliwahi kulamba pippi Ica akiwa dukan kwetu tunasme aalionja mbona alitaka kujiuzuru?mkuu wa Polis anasadikiwa kuuzwa wakina dada poa mbona kajipiga chini,Mkuu wa usafiri Mwak 1997 alijiuzuru sababu mabasi ya Skone yalikuwa yanachelewa kwenye safari zake,Jamani kukiwa na ukweli japo mko uko mseme japoa kweli mimi niliishi uko Tack means Thinks
ReplyDeletewakatabahu
WEWE KIBABU WA BIG MAMMA,,NASIKIA BIG MAMMA YUKO BONGO ANAJIACHIA TUU
Amekaa miaka 24 huyo anaota tu, mi nafanya hapa Ubalozini hakuna mtu aliyewahi kuishi hizi miaka huku na kumbu kumbu zote ninazo
ReplyDeleteMdau wa Ubalozi
yaone yanavotambiana
ReplyDeletekwenu uko?watumwa wakubwa nyie