Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. hii inatisha. lakini inaonekana mwenye pikipiki ndiye mwenye makosa. sijui kama alipona! naona mwenye gari kachanganyikiwa.

    ReplyDelete
  2. Kwa wale waliofanya Driving Test za DVLA, UK, kuna swali linasema
    Unapokaribia makutano kwenye mataa ukikuta taa ya KIJANI: Jibu lake ni UNATAKIWA KUJIANDAA KUSIMAMA. Remember swali halisemi RED au AMBER/YELLOW. Yaani kwenye mataa regardless what ni lazima unapokaribia ujiandae kusimama period, Bongo mchezo wa kuwahi mataa tunao sana, kuna siku pale Mataa ya Moroco kuna daladala lilitaka kuniparamia kama siyo kufunga brake, maana mataa yameruhusu jamaa kalichochea kweli yaani ilikuwa aniondoe mimi upande wa dereva.

    Hapo Sasa sijuimwenye pikipiki kapona?. Kweli ajali haina kina ila inaweza kuzuilika

    ReplyDelete
  3. mdau wa mwanzo, hebu anza hiyo clip kwa sekunde tu halafu simamisha kuianza sasa angalia kwa makini rangi ya taa ya chini kwenye nguzo yenye mshale mweupe, unadhani ni rangi gani? mimi naona ni green, ikimaanisha mwenye pikipiki anaruhusiwa kupita.

    i hope jamaa amepona, lakini kwa namna alivyorushwa na kugonga dari ya gari naona atakaa hospitali kipindi kirefu.

    ReplyDelete
  4. yeah.. mwenye pikipiki anaruhusiwa kupita...mwenye gari ndo ana makosa..cz ukiangalia vizuri hata pande ya pili kuna taa nyekundu...kwa wale madereva wazoefu na taa..wataelewa!!

    ReplyDelete
  5. Wadau mliosema kuwa mwenye gari ana makosa tukitumia hii clip mko sashihi japo uliyetumia kigezo cha red upande wa pili siyo lazima nyakati zote kwani ule upande wa gari unaweza ukawa umeruhusu wanaoenda moja kwa moja na wanaokata kushoto hivyo upande ule mwingine utakuwa na red. Mtu akiingalia kwa umakini ataona baaada ya mzinga upande wa pikipiki taaa zilibadidilika na kutoa yellow ambayo bilashaka ilifuatiwa na red.
    Kwako mdau wa UK green means GO na siyo prepare to stop.

    ReplyDelete
  6. Anon wa Tue Mar 02, 12:05:00 AM

    Tatizo lako wewe umekariri na ndiyo maana ajali haziishi. Mawazo yako wewe na ya mwenye pikipiki hayana tofauti ndiyo maana akagongwa. Kwa kuwa umekuta Green basi unakanyaga mafuta tu.

    Soma vizuri nilichoandika siyo kurukia mambo kama vile upo kwenye viti virefu, kule kwetu wanasema "KUROPOKA". Ninaposema ujiandae kusimama sina maana ya kusimama elewa hilo Kilaza wewe. Kama mwenye pikipiki angekuwa na tahadhari ya kuwa japo ameruhusiwa lakini ajiandae kwa unexpected asingegongwa. Mimi nina DVLA Licence na huku kupati Driving Licence bila kufanya Theory test and hazard perceiption test na kufaulu kabla ya kuingia barabara na BSM et al kwa practical.

    Ninapokuambia kuna swali kama hilo nina maanisha hivyo na lengo la swali ni kumuandaa dereva kupunguza mwendo anapokaribia kwenye mataa hata kama yanamruhusu ili kukabiliana na unexpected na siyo kukanyaga mafuta, maana life is not recoverable once umegongwa na kufa you are gone regardless ni nani mwenye makosa.

    Tatizo lako wewe unaendesha Dar style ni mwendo wa kuchomekeana tu na Driving Licence yako umeipata baada ya kutoa kitu kidogo kwa traffic police hata driving school hukuenda hujui alama zozote za barabara. Unachojua wewe ni kukanyaga mafuta(kwenye automatic car) na kuangalia kama Taa ni GREEN au RED basi! Utakufa siku si zako

    ReplyDelete
  7. Anon wa Tue Mar 02, 12:05:00 AM

    Baada ya kuona ukilaza wako nilisahau kukusaidi pia ingia kwenye website hii hapo chini kama Upo UK lipia 5GBP tu kwa mwaka ili uweze kujifunza udereva siyo kupeleka gari kwa kukariri GREEN = GO and RED = STOP

    http://theorytestpro.co.uk

    ReplyDelete
  8. Mwenye makosa ni mwenye gari, Maana ukiangalia vizuri taa za kijani zilikuwa zinamruhusu mwenye pikipiki kupita. Inaonekana mwenye gari alikuwa distracted na kitu kwa hiyo mawazo yake hayakuwa barabarani. Ndiyo maana hapa US kuna baadhi ya majimbo hivi sasa yametunga sheria ya kutokuongea na simu wakati unaendesha. Kitaalam unapokuwa distracted wewe ni "Hazard" barabarani. Du!! jamaa sijui kama alipona?!!.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...