UVUMI ULIOENEA KWAMBA KUNA KIONGOZI MMOJA MASHUHURI HAPA NCHINI AMEFARIKI DUNIA HAZINA UKWELI WOWOTE, GLOBU YA JAMII IMEGUNDUA.
BAADA YA KUFUATILIA KILA MAHALI, IKIWA NI PAMOJA NA LONDON, UINGEREZA, ILIKOSEMEKANA NDIKO ALIKOFIA AKIWA KWENYE MATIBABU, IMETHIBITIKA KWAMBA MTAJWA KWENYE UVUMI HUO SIO TU YU BUHERI WA AFYA BALI PIA YUMO HUMU HUMU NCHINI.
HABARI NDIYO HIYO
Michuzi kwa KUYEYUSHA sikuwezi.
ReplyDeleteUnaogopa kushtakiwa kwa kusambaza uvumi?
Eti Landan, Uingereza wakati mtu yuko hapahapa Hindu Mandal hapo.
Mi sijasema lakini.
Tehe teh tee tee!
kwani huo uvumi ulivumisha kuwa ni kiongozi gani amefariki? sisi wengine hatukuusikia.
ReplyDeleteLOOOH! Hivi uvumi kama huu huwa unaanzaje? kuna mtu anakuwa ameota kwamba "fulani kafa"? au inakuwaje? Naombeni wananchi mnifafanulie
ReplyDelete