WANACHAMA WA CHAMA CHA KUSAIDIANA WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA MGENI RASMI MHARIRI MKUU ASUMPTA MASOI kwenye uzinduzi wa chama hicho
Mwenyekiti wa UWAMA Angela Msangi akimuandaa mgemi rasmi Mhariri Mkuu wa TBC 1 ASUMPTA MASOI
Mc WA SHEREHE YA UZINDUZI WA CHAMA CHA WANWAKE TBC UWAMA- RAHELI MHANDO akitoa maelekezo kwa mwenyekiti wa uwama ANGELA MSANGI akiwa sambamba na mgeni rasmi ASUMPTA MASOI Mharriri Mkuu wa TBC 1 .
Mgeni rasmi akiwa na mdau wa Jambo Tanzania MAGRETH CHAMBIRI
Wadau wengine Martina na Levina
Hapo ni wadau wengine wa TBC 1 ESHE MWIDINI na ZUENA MSUYA
Wadau wa tbc one ambao ni wanachama wa chama cha kusaidiana UWAMA kutoka kushoto ni AGNES MBAPU,ETI KUSILUKA na LOUISA MTOPWA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hao mademu walioshikana mikono they play the same team or??? i hope not

    ReplyDelete
  2. mh! ETI UBIZE NA VISIMU!

    HALAFU SIKU HIZI KUTOFAUTISHA KE NA ME NI KAAAZI KWELI KWELI KAMA MNABISHA ANGALIENI MWANAMKE WA KWANZA KUSHOTO PICHA YA KWANZA MNIAMBIE!

    ReplyDelete
  3. vipi watu wengine hawaruhusiwi?
    Hongera sana kina mama hayo ndiyo maneno.

    ReplyDelete
  4. Mimi kile kipindi cha TBC1 kinachonesha mkanda wa harusi sikipendi kabisaaa... kina fanya watazamaji kuangalia channel nyingine... mimi nitaangalia vipi harusi iliyofungwa bukoba na hai nihusu??? hao wenye harusi si wanamikanda ya harusi si waangalie kwao na huu muda weka filamu ya wanyama???? acheni ukenge

    ReplyDelete
  5. Hao wawili walioshikana confirmed players on same team is non of your business kwa raha zao!km waume mko busy wao wafanyaje

    ReplyDelete
  6. Angela bby always una lead kwa vivazi maana hao wengine mmmmhhhh... tankyu Mchina kuja Kariakoo

    ReplyDelete
  7. Angel na wenzako hongera kubwa,ni wazo zuri kukutana na kubadilishana mawazo nje ya ofisi, km mnaweza raha jipeni tu hao...

    ReplyDelete
  8. Hawa alikana mama dada wanafaa sana kwa shughuli fulani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...