Ule wakati wa wadau 100 wa mwanzo (kuanzia milioni 8 na kuendelea hadi wa 8,000,100) unakaribia. angalia takwimu chini kuume na ikigota 8,000,000 tu tuma jina na anwani yako uletewe ze fulanazzz za Globu ya Jamii.
Kuna wadau wamekuwa wakituma email zao kabla ya wakati, nami pamoja na kuwashukuru tunawaomba wafanye subira hadi muda utapowadia.
ANGALIZO: Namna ya kutuma email yako itakuwa rahisi sana. Muda utapowadia tutaweka posti ambayo utatakiwa kubofya sehemu ya 'mtumie rafiki yako' pale chini ya posti na weka email yako humo. Si vingnevyo...
Michu!
ReplyDeletekazi nzuri ila mimi sitaki ya TOMBOLA
nataka ya kununuwa. navaa xxl nitapataje ama nikuone wapi ni nunue ze fulazzzzzz
wewe shangilia the furana na sisis tunashangilia simba SIMBA OYEEEEEEEEEEEEEEEEE
ReplyDeletewhat is so special about these the fulanaz kwa kuangalia tu material yako ni cheap cheap so what else is there?
ReplyDeleteni mtazamo tu.
usibanie hii kaka silazima wote tupende
what is so special about these the fulanaz kwa kuangalia tu material yako ni cheap cheap so what else is there?
ReplyDeleteni mtazamo tu.
usibanie hii kaka silazima wote tupende
Kaka Kwenye taarifa ya habari ya leo ya TBC Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania imeona tatizo la mtizamo wa vijana wetu kuwa ni burudani na mapenzi na sio kuwajibika na wametoa wito kwa vyombo vya habari nchini kurekebisha hilo kwa kuhamasisha uwajibikaji.
ReplyDeleteKwa mara ya kwanza nimeona move ambayo sikuitarajia kwa nchi yetu kuifanya, maana hayo ni masuala ya ulaya ambapo taasisi inapoona tatizo inakuja na mkakati wa kulitatua kwa kung'oa mzizi na sio kukata matawi kama ilivyo kwa nchi nyingi za afrika.
nawapongeza Mamlaka ya mawasiliano na nadhani wanakila sababu ya kuungwa mkono katika hili. Mtizamo wa vijana ukiwa wa kuwajibika maambukizi ya Ukimwi yatapungua, tatizo la ajira litapungua, maendeleo yatakuwepo nk.
Wadau wanaonaje iwapo suala hili lisiishie Mamlaka ya Mawasiliano bali liwe kampeni ya kitaifa ya kuhamasiha uwajibikaji kwa jamii ya kitanzania?
anony Sat Mar 06, 09:25:00 PM naona unapalilia kibarua chako kwa nguvu zote.
ReplyDeleteuncle hiyo ya TBC na TCRA naiona kama inajitegemea unaonaje uiweke kama mada inayojitegemea tusikie maoni ya wadai juu ya hoja ya mdau?
ReplyDelete