Ankal eeeh..
wadau wana hamu sana ebu wape hiyo.....
hasa wadau wa ughaibuni.
yanga 2 Azam 1
Ngassa dk 13,Tegete 27.........
azam Boko 42 penati......
yanga imefikisha points 45.
Mdau wa Lunyasi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kwa mechi za nyumbani haaa hamjambo, wakija Lupopo ni balaaa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...