Home
Unlabelled
ali kiba alivyomwaga lazi ugiriki mkesha wa pasaka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hawa wadau wa Ugiriki wanaonekana kama wazamia meli wa enzi hizoo. Enzi za kustorowei. Safi Kiba, lazima nyumba ya pili mwaka huu ukaijengee kwenu kabisa kabisa.
ReplyDeleteNgedere Wahed
Samahani Kaka michuzi umesema ugiriki au Bukoba!! maana naona wamechoka hasa huyo wa mwanzo bora huyo alikiba anaonekana mtu wa ulaya.Hebu angalia uzuri isije kuwa umekosea...
ReplyDeleteDu... jamaa huko ugiriki choka mbayaaaa.. hamna mabox huko? hakuna anaye smile
ReplyDeleteWabongo roho za korosho. Mmetembea kilometer 2 na wengine mmpepanda vipanya kwenda kwa internet cafe mnaloliona la muhimu ni kupoteza muda wenu na kuanza kukosoa watu na kusema wenzenu wamechoka. Mnasema wamechoka lakini Ali Kiba hachoki kuwafuata. Na maendeleo yote aliyoyapata ni kutoka kwa hizo safari za kuwafuata hao mnaosema wamechoka...
ReplyDeleteKwanza wekeni picha zenu tuwaone.....ndio maana mlinyimwa viza....
uuuwiii mbavu zangu mdau wa kwanza hapo juu umeniacha hoi, safi sana ali kiba naona unakubalika anga za kimataifa zaidi endelea kutunga vitu vikali ikibidi toa single moja na mwanamziki kama rihanna utoe kitu cha ukweli kama fally ipupa na olivia wa g unit naamini utaweza sana tuuuu
ReplyDeleteLong time Heavy-D(Tony)!
ReplyDeletePoa sana, umangani naona na inanipa kumbukumbu za Peraeus ile mbaya,mpe salaam China.
Sensei Rumadha
ali akiba njoo norway jamani!!kipindi ya summer..mdau
ReplyDeleteali kiba umezidi kurembua au mwenzetu mambo flan albaaata!
ReplyDeleteNdugu zetu wa ugiriki nawaona wanapendeza sana na hasa nilipowaangalia katika tovuti yao. Na nyie wenye kuona mabaya tu ni vizuri mkawatembelea katika tovuti yao ya www.tanzaniansingreece.com HAPO ndipo mtajua kama ugiriki watu wanapendeza na wala hawajachoka. ukitaka kuangalia waliochoka fungueni site za ......(MTAJIJU)
ReplyDelete