Home
Unlabelled
bango la tangazo uyole leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi serikali imehalalisha DOLA ama huko ni marekani..
ReplyDeleteMamno ya kuiga mengine mabaya. Sasa hapo wana refere dola ya nchi gani? Nikiwapa dola ya Zimbabwe watachukua?
ReplyDeleteKuna aliyewahi kutozwa kweli hiyo hela au ni maneno tu. kama ni hivyo huo mji unatakiwa uwe tajiti sana. Lazima kwa mwezi kuna hata watano najua watakua wanavunja sheria je hiyo $2000 imeshatolewa hata mara moja na kama zimetolewa mbona hatuoni maendeleo hapo au hizo hela zaenda wapi?
ReplyDeleteKAMA HIZO RATES ZINATUMIKA KWA DOLA HAKUNA FAIDA YA KUWA NA SHILINGS!!! SHILINGI LAZIMA IJULIKANE HATA SOKO LA KIMATAIFA!!! MDAU KWA HIYO UNAKUBALI DOLA ITUMIKE NA PESA YETU IENDELEE KUSHUKA NA TUSITANGAZE VIVUTIO VYETU KUPITA PESA KAMA TWIGA NA TEMBO NA VINGINEVYO?
ReplyDeleteHUO NI UPUNGUANI NA TUNALINDA MASLAHI YA WAZUNGU MBONA BODA ZA KENYA HAZIKO HIVYO?
TEMBELEA MTUKULA BODA UGANDA PESA YAO WANAIDHAMINI SANA.
Hivi kumbe ncji hii kuna vitongoji vilivyo enda shule kiasi hicho! Jamani basi nssf waone pia huko waweke mijengo kama mza na ars kutakucha zaidi! Hawajui kua kitongoji ni kipito kikubwa cha foreiners na midolali yao?
ReplyDeleteNawakilisha
THAT IS TOO MUCH, FINE $2000 KWA KUKWEPA KUPITIA MIZANI TU. THAT IS TOO MUCH. TSHS 3000,000+
ReplyDeletewametumia ground gani kuweka hiyo rate au wamebase kwenye sheria ipi na ya mwaka gani?wizi mtupu
ReplyDeleteKama faini ndiyo hiyo sasa nimejua kwanini watu wa mizani wankuwa matajiri
ReplyDeletehivi gari ya tani 3.25 ina uwezo wa kubeba mzigo wa thamani ya $2000
we anony wa april 13,08:37 umeiandikaje hiyo Tsh yako.yes its an estimates but just look at it.wel may be its typing error.
ReplyDelete