Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. nilishasema 2015 usd 1 itakuwa 3500tsh, wazee wanamkakati gani na hili swala la madafu?

    ReplyDelete
  2. hamna cha ajabu hapo,kwni mkapa kaingia madarakani dola mia ni elfu sitini n nne,64000.baada ya miaka kumi kaondoka ameiacha dola mia ni laki na ishirini na saba,12700.mara mbili ya alivyoikuta,thats mins kila miaka mitrano kaijaza nusu,now JK ndo yale yale,2015 ataondoka itakuwa mara mbili.tukifikisha marais saba ni dola mia bilioni moja.wakati wa tz inapata uhuru sumni dili,nyerere kaondoka uchumi hoi,waafrica na uchumi ni too different things.

    ReplyDelete
  3. mdau wa kwanza makisio yako kiboko!

    ReplyDelete
  4. Maskini Paundi mbona inazidi kudidimia? Mbona dola inazidi kupaa? Kulikoni?

    ReplyDelete
  5. BANK OF TANZANIA has to do something..

    ReplyDelete
  6. ndugu 2wekee na indian rupee basi rate yake basi...

    ReplyDelete
  7. Mkuu unauliza utafutiwe ya Indian Rupees,kwani hjui kutafuta through google?usipende kutafuniwa kila kitu

    ReplyDelete
  8. haki ya nani vile!!

    ee mola tupe akili

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...