Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB, Dr. Charles Kimei akihutubia wakati wa mahafali ya chuo cha Ualimu cha Capital mjini Dodoma mwishoni mwa wiki ambapo alikuwa mgeni Rasmi. Kushoto ni mkuu wa chuo hicho Bw. Khan Chakoriwa na Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya chuo hicho Bw. Idrisa Mgaza. Dr. Kimei alitoa shilingi milioni tano kama mchango wa Benki ya CRDB kwa maendeleo ya chuo hicho.
Dr. Kimei akipokea ngao ya kutambulishwa rasmi kama mwana jumuiya ya Chuo cha Ualimu capital mjini Dodoma katika sherehe ya mahali ya pili ya chuo hicho yaliyofanyika mjini Dodoma
Sehemu ya wanafunzi wa chuo cha Ualimu cha Capital mjini Dodoma






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera sana Dr Kimei kwa jitihada zako katika jamii.Pia kwa kutujali wateja sitakusahau kwa msaada wako mkubwa wa kunisaidia kufungua Account nikiwa nje ya Tanzania na hatimaye wewe mwenyewe kunipigia simu kunipa maelekezo juu ya kuipokea kadi yangu na maelezo muhimu mengine.
    Na hata kufuatilia jinsi account inavyoendelea kwa kunitumia SMS!.Pia afisa aneyehusika na wateja pale Tower Branch Dar, pamoja na kuwa hatujawahi kuonana uso kwa kwa uso Asante sana Dada Salma Mkambara kwa msaada mkubwa. sasa naweza kulipa ada ya shule,kulipia huduma mbali mbali huko nyumbani kwa kuingia mtandaoni. hongereni sana CRDB.NA KWAHERI WESTERN UNION!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...