Home
Unlabelled
bunge la ukraine
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mh kwetu ni mabavu tuu watu hawana hata uhuru wa kutoa maoni manake watatimuliwa bungeni ingekuwa poa sana kama hamjakubaliana na hoja mnaipinga kwa power zote mithili ya hiyo picha ndo watu wangeheshimiana huko bungeni
ReplyDeleteHii situation ilitakiwa itokee hapo bungeni Dodoma wakati wa kujadili sheria mpya ya madini Tz mpaka kieleweke! but ofcourse bongo mambo yanapitishwa kimiujiza miujiza tu
ReplyDeleteEti sisi tumekalia "diplomasia" tuuu japo hata hatuitumii inavyotakiwa...Silaa, hebu mkamate huyo nanihiii kwa kutonyoosha mambo umpe kavu kavu kama 3 hivi kwenye koo, wakati umeshafika sasa
ReplyDeletehapo watunga sheria hawakuvunja sheria?
ReplyDeleteUS Buloga
ofcourse jamaa walikuwa wanapinga kitu cha maana sana kwamba kwanini raisi amesign mkataba wa urussi kuweka majeshi yake nchini ukraine mpaka mwaka 2042 bila kulitaarifu bunge hasa wabunge wa upinzani hawakutaarifiwa juu ya hilo yaani wanakuja kuambiwa wakati rais ameshasahini mkataba!ndipo kumbe wabunge walikuwa tray za mayai na mabomu ya machozi wakaanza kugawa mkongoto kwa wabunge wa chama tawala matokeo yake ndio hayo yaani hii kitu ingekuwa bongo hii nadhani hata ile mikataba mibovu ya madini na ununuzi wa rada mpaka tunarudishiwa na chenchi isingekuwepo heshma ingekuwa mbele na tusingekuwa na wabunge wazee maana yake ukiwa mzee utakuwa wa kupigwa kila siku hasa ukiongea pumba hongera sana wabunge wa ukraine maana hamtaki kupoteza uhuru wenu kwa nchi ya urussi ambayo inawalazimisha kuwatawala kimabavu!mie nadhani ifike bongo nako tuanze kuingia na mayai hapo heshima itakuwa mbele hasa kwa ile mikataba inayopitishwa kimabavu kama ule wa sheria za uchaguzi ambao baadae umerudishwa tena bungeni kwa marekebisho hv wabunge huwa hawaoni kama wanapoteza muda na fedha kitu ambacho rais amekwisha sign tena wanakuja kukirudia bungeni kwa uzembe wa watu wachache wenye kupenda madaraka kwasababu kilishajadiliwa na bunge na kupitishwa wao wakaenda kukaa nacho chemba na kukirekebisha kisha kumpa rais asign naye akasign baadae kikaonekana kimechezewa before rais hajasign kikarudishwa tena bungeni tungekuwa na bunge kama la ukraine makosa kama hayo yasingekuwepo heshima ingekuwa mbele!
ReplyDeleteWabunge watanzania wajifunze namna wenzao walivyo na UCHUNGU na nchi, watetee maslahi ya wananchi sio mambo ya kupinga muswada kwenye hoja zake then anaungamkona kwa asilimia 100, hatutafika.
ReplyDeleteHii ni demokrasia ya kweli na watu kuwa na uchungu na nchi yao hii ni mfano wa kuigwa duniani kote kuwa kuwa mbunge si kwa manufaa ya familia bali ni kwa jamii inayokuzunguka hapa hufanya hivyo pia kuwa na uhuru wa kuongea chochote ndani ya bunge na si kuongea pembeni kama bunge letu la Tanzania mbunge kuongea bila ruhusa huenda akafukuzwa bungeni lini tutaacha kukumbatia nidhamu za uoga na wakati tunabeba dhamana ya wananchi tunao wawakilisha...tusisubiri miujiza ya mungu tubadilike kisiasa kwa kuwa hapa kama mtu aliahidi pindi anachaguliwa na hakutimiza ahadi zake hawampi mda tena bali wanachagua mwingine hii ni kama waziri mkuu Yulia Timoshenko na Raisi mstaafu Victor Yushenko..
ReplyDeleteBY Mdau Ukraine
Sasa hili sio Bunge tena...hata kilabu cha pombe za kienyeji lina afadhali wajemeni duuhh...!!!
ReplyDeleteYes ! hili ndilo bunge la haki sio la kwetu "standard and speed" watu inafika mahali wanaona ni upuzi na wanaamua kupigana heko kwa wabungu wa Ukraine.
ReplyDeleteNatoa ushauri kwanza badala ya wabumge kukaa kwenye bunge kama wanaangalia sinema ya Rambo wakae wakitazamana kusudi ngumi ziweze pigwa sawasawa.
mie uyo tu alorukia juu na spika kafunikwa mwiavuli hhahahaaa
ReplyDeletejinsi gani watu walivo na uchungu wa nchi na wanainchi waliowachagua kuwakilisha
sio bongo ubabe-ubabe tu na kutishiwa ma mafia,,,nyambaf
ila siku ipo bunge la dodoma pale patakua hapatoshi,yani unakata mtu kibao unarudi kitini pako unaendelea kutetea hoja ya AKILI,mf yule aliyetanga mjadala wa richmondi ndo angevurumishiwa mayai-viza na vyumba vya maji
lool yani niliwapenda sana ili bunge,mngechek CNN awa ndo wanaume wa kuolewa nao!!adi raha
yani adi mwaka 2042?bila wabunge wengine kujua?
Mhh! Testosterone za kiume hizo!
ReplyDelete