Benki ya CRDB imefanya draw ya mwisho na kupata washindi wawili zaidi waliojishindia ticketi za kwenda kushudia kombe la Dunia Afrika kusini, ambapo washindi watatu wengine wamezawadiwa LCD TV.
Katika draw hiyo walioibuka na
Katika draw hiyo walioibuka na
tiketi za kushudia kombe la dunia ni:
1.Asha Issa Omary
2.Joseph Edward Mtandika
Walioshinda LCD TV
1.Asha Issa Omary
2.Joseph Edward Mtandika
Walioshinda LCD TV
zenye kingamuzi cha DSTV ni:
1. Gemma Gatwell
2. Mukami Kairuki
3.Olimpio Felgenda
1. Gemma Gatwell
2. Mukami Kairuki
3.Olimpio Felgenda


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...