Guru wa Old Skul duniani DJ Luke akiwa kazini kwenye mnuso mmoja hivi karibuni huko ughaibuni. DJ huyu mkongwe anazidi kupaa si kwa kupiga ngoma tu bali pia kwa kuliendeleza libeneke, Mtembelee kwenye libeneke lake ambalo ni mpwa wa Globu ya Jamii/\.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. DJ Luke bonge la Dj hakuna mfano. Jamaa kwa old skull hakuna anayemuweza hapa USA.

    ReplyDelete
  2. ProF: PETER NALITOLELAApril 21, 2010

    DJ LUKE BWANA ONA. KAMA UNATAKA KUWA JUU KAMA WAKINA KANUMBA, MASHAKA, JK DR. SHAYO NA MICHUZI, INABIDI UINGIE KWENYE ALUMNI WA MUZUMBE. ILI HIYO SHUGULI IFANYIKE INABIDI UNIPE TIKETI YA KUJA KWENYE SHOOO YAKO. NAWEZA KUIPATEJ TIKETI ZAKO MUKUU? KUWA MWACHUO WA CHUO KIKUU CHA UNIVESITI CHA MUZUMBE CHA KULE MOLOGOLO NI MALI SANA. UNAPATA HESHIMA KUBWA SANA DUNIA. UNAPATA HESHIMA IKULU YA DAR, WOSTRITI YA MAREKANI, KWENYE GLOBU YA JAMII, BONGOWOOD NA NBA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...