Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na Mbunge wa Busanda, Lolesia Bukwimba (kulia) na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa (kushoto) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya Wachimbaji madini wadogo na madiwani kutoka jimbo la Busanda wilayani Geita waliotembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao, Lolesia Bukwimba (kulia) , kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na Mjumbe wa UWT Mkoa Dsm Mh. Shyrose Banji leo katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo
Mbunge wa kwa tiketi ya CUF Mh. Fatma Maghimbi (kulia) na Mbunge Haroub Masoud(CCM Koani) wakiingia Bungeni leo. Picha zote na Mwanakombo Jumaa - MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. angalia vizuri mkono wa shy vidole vyake vinaonesha atakuja kuwa kiongozi...hii ni kwa mujibu wa sheikh yahya kwenye kipindi chake ch ten. aliwaonyesha viongozi kibao vikionyesha vidole style hiyo..

    ReplyDelete
  2. Hivi umejiuliza kama na yyeye shyrose ameona hicho kipindi cha shekh yakhaya mshirikina na ndio anahisi awe na staili kama hiyo ili awavutie watu kama wewe na hatimae apate huo uongozi.

    Chururu si ndondondo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...