Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kaka Michuzi,

    Kuna any body or institute or hususan nyinyi ambao mko kwenye media, mungeweze kuanalyse the assessment and grading of our wabunge.

    I think if we do that, it will help us in somehow on lighting whats INEFFICIENCY and INADEQUENCY OF OUR WABUNGE.

    Mathalani mbunge wa jimbo la ilala, amewezesha kuwasilisha bungeni mswada wa kukuza maeneo ya kibiashara ilala, ameweza kuwakilisha mawazo na fikra jinsi ya kuweka uhalisia wa matumizi ya fedha katika sekta za kiserikali, ameweza kuulizia maendeleo au madhumuni ya serikali katika kuimarisha na kujenga hospital mpya katika eneo la ilala, ameweza kuishirikisha na kuambatanisha miundombinu ya mji wa Mombasa na kuweza kupata mawazo ya jinsi gani kufanya na kuboresha jimbo lake au la mji mwengine, na kadhalika na kadhalika.

    sasa kinachokuja hapa ni kufahamu je serikali iliitikia wito na mapendekezo hayo na yapi yamefanyika na vipi yameweza kuwasaidia wananchi waliokusudiwa either jimboni kwake au kwa jimbo jengine, au kwa faida ya nchi kwa ujumla. alimradi kufuatilia kwa undani ni kipi wamekifanya na kipi wamefanikisha kitekelezwe serikalini na ngazi za chini za kiserikali mpaka jimboni kwake.

    Kuwahoji wananchi wake, katika misingi hiyo kwa kupata mawazo na fikra, je vipi wamefanikiwa au kutokufanikiwa kwao kutokana na kile cha kuwakilishwa bungeni na mbunge wao. na hii KAZI NI YA MEDIA, na serikali KUWEKA WAZI HIZI RECORDS ON THE PUBLIC DOMAIN, WHICH IS FUNDAMENTALLY OUR RIGHTS ON THAT REGARD.

    BUT I AM SENSING IS THAT, WE AS WANANCHI WE TEND TO HAVE SHORT MEMORY OF WHAT ARE THE PROMISES FROM ONE ELECTION TO ANOTHER, WE DO NOT KNOW OR RECALL THEM ON THE NEXT ELECTION, WE TEND TO RESIGN TO AUTHORITY POWER AND NO QUESTION NO ANSWER ATTITUDE, EVERYBODY MINDING HIS/HER OWN BUSINESS WHICH IN EFFECT AFFECTING US IN A LONGER RUN, JUST LIKE A RAINY SEASON FIASCO, BELOW.

    BUT THIS IS THE CULTURE BUILT UPON SECRECY AND WE LET THEM LEAVE AND TALK ONLY BUT NO SUBSTANCE ON PART OF POLITICIANS, WE LOVE TO TALK THATS GREAT AND WE DO HAVE TO CHANGE THAT, AND MEASURE WITH ACTIONS ON PART OF OUR POLITICS, AND THATS SIASA IT IS ALL ABOUT, IF WE DONN'T UNDERSTAND THAT.

    MFANO HIVI SASA HAKUNA A RED TAPE BETWEEN GOVERNMENT ACTS OF DUTY AND PRESENTATION OF TAIFA LETU NA WANANCHI WAKE AND THOSE OF CHAMA, UTAMUONA MWANASIASA ANATOKA TANZANIA ANAKUJA HUKU KWA PESA YA TAX PAYER WHETHER CUF, CHADEMA AU CCM ANAKUJA KUFUNGUA BRANCH YA KADA WA CHAMA ULAYA. IT IS FINE ONCE HAUKO KWENYE PUBLIC DOMAIN ENTITY AKA GOVERNMENT PAYROLL, BUT EVEN THAT NOT ADVICEABLE. AND THAT SHOULD BE CONSIDERED A RED TAPE, SHEREHE ZA MUUNGANO, A PARTY BANNER IS SHOWN RATHER THAN UNITY OF ALL POLITICAL PARTIES. THESE ACTIONS SHOULD BE LEFT ON NEC MEETINGS AND INDIVIDUAL PART GATHERING BUT NOT ON TAXPAYER EXPENSE.

    MICHUZI BRO, NISIJECHANGANYIKIWA NDUGU YANGU, MAMBO NI MENGI YAKUONGELEA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...