Kikosi kizima cha timu ya ligi kuu ya Sweden GEFLE IF anayocheza nyota wa Kitanzania Haruna Moshi Boban ( wa nne toka kuume nyuma) ambaye imeelezwa anafanya vizuri sana na ni mchezaji wa kutumainiwa na timu hiyo
Mdau Stockholm

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Nimetembelea website ya timu yao nikakuta statistics kama ifuatavyo kuhusu huyu jamaa.



    Length 172 cm
    Weight 73 kg
    First club Simba SC
    Come from the club (years) The swimming SC (2010)
    Year of birth 1987
    Nationality Tanzanians
    Matches 24 A
    Case in caps 0
    Seasons in the A-squad 0
    Total matches for GIF 0
    Premier Division matches for GIF 0
    Premier Division matches total 0
    Premier Division matches in 2010 0
    Case in total for GIF 0
    Total Goals in League 0
    UEFA cup matches for GIF 0
    Goals in UEFA Cup 0

    Wajumbe fafanueni, huyu jamaa anategemewaje kwenye timu.

    ReplyDelete
  2. kila la kheri Boban huku maximo kichwa kinamuuma.naomba michuzi aipeleke picha hii kwa Maximo.

    ReplyDelete
  3. wewe ni mtu wa maximo inaonekana huna jipya.

    ReplyDelete
  4. Acheni kuchonga, Boban bado anapipika na timu inamuitaji, kama angekuwa aitajiwi asinge sainiwa. Nahisi wataanza kum2mia sana mwaka ujayo kwa sasa anapipika.
    Mfalme wa Kigogo

    ReplyDelete
  5. FANYA KWELI MWNA WAPUUZI KAMA HUYO WA KWANZA JUU WAPO WENGI TUU. WATANZANI VIPI WEWE UNAKURUPUKA TU FROM NO WHERE UNATUMA COMMENT ZA KIJINGA UTADHANI WANAO SOMA HAPA NI VIHIYO KAMA WEWE NYAMBUFU MZUNGU SIO MJINGA KUMCHAGUA NA KUMWEKA HAPO WEWE UPO WAPI. CHEZA SOKA HARUNA UKO JUU

    ReplyDelete
  6. WEWE PUMBAFU HAPO JUU SITE IMEANDIKWA KISWED SASA WEWE ULITLANSLATE NA TLANSLATION IKAKUPA HUO UTUMBO ULIOUWEKA HAPA WEWE NI MJINGA KWANI HUKUINGIA KWA MAZURI ULIINGIA KWENYE HIYO SITE KUTAFUTA KITU CHA KUMCHAFUA NA SI KUJIVUNIA KAMA MTANZANIA MWENZIO. UANGALIA LIGI IMEANZSA LINI NA WAMECHEZA MECHI NGAPI, MICHUZI HUYU KIHIYO MWAMBIENI TANZANIA TUNAYO ELIMU YA WATU WAZIMA KWA ELIMU HAINA UZEE KAJIFUNZE TARITIBU NA KWA MUJIBU

    ReplyDelete
  7. Ukweli ni ukweli tu. Hamna mtu wa kumchafua mtu, bali acheni kutudanganya, mtu hata mechi moja hajacheza mnamuita mchezaji wa kutumainiwa. Ninyi vipi?

    ReplyDelete
  8. Tumechoka kudanganywa wabongo.
    Hata mtulazimishe, siku hizi mambo yako wazi, taarifa ni njenje ukizitaka. Enzi za lalaaalaaa mpira umetoka sentimeta chacha kutoka golini wakati ni wa kurusha hatuzitaki.

    Wadau tunataka ukweli tu sasa hivi. Mtu kama star, star tu, msimbebeshe mtu sifa asizokuwa nazo, matokeo yake ndo hivi mnaanza kutukana watu wanaotuletea ukweli kwa kuwa mnataka kuendelea kutudanganya.

    ReplyDelete
  9. Huu si utumbo. Huu ndo ukweli wenyewe. Wewe unaona Kiswede hatari? Si ni lugha tu kama Kiswahili? Au unadhani wote hatujui kama wewe?
    Jamaa kwenye rekodi zake kila kitu ni ziro na hii ni kutoka kwenye timu unayoisema.Sasa inakuwaje unataka kulazimisha kuwa jamaa ni wa kutegemewa wakati si kweli? Hata mechi moja hajacheza.
    Fuata link hii hapa halafu piga kelele. ukishindwa kusoma nenda Balaza la Kiswahili wana watafri pale watakusaidia:
    http://www.gefleiffotboll.se/index.php?spelare=87&page_link=a-truppen

    ReplyDelete
  10. Mechi hii timu yake inacheza muda huu. Mbona hayumo hata benchi?

    http://svenskfotboll.se/allsvenskan/match/?scr=result&fmid=1380800

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...