Mdau Ridhiwan Kikwete akikata keki akishuhudiwa na mai waifu wake na mwanae usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake jijini Dar.
Ridhiwani akimlisha keki dada yake Salama.
Maulid Kitenge akiwa na Salama Kikwete na
Albert Marwa wakati wa sherehe hiyo
Mdau Ridhiwani akiwa na furaha katika siku yake ya kuzaliwa,akiwa na wadau Maulid Kitenge (kushoto) na Benny Kisaka.
Ridhiwani akiwa na waalikwa shereheni





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Prof: PETER NALITOLELAApril 17, 2010

    KIJANA WA RAIS NA MTOTO WA MUKUU WA KAYA AMBAYE TUMEGRAJUETI NAYE KULE CHUO KIKUU CHA UNIVESITI CHA MUZUMBE CHA KULE MOLOGOLO HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA, TUNASUBIRI TU SIKU YAKO UTAKAPOTINGA KWENYE IKULU MWENYEWE TUKIONGOZWA NA NABII YOHANA MASHAKA WEWE UKIWA MAKAMU WA RAIS WA 2015, KWA HIYO KULA KEKI KUBWA ILI AKILI ZIONGEZEKE KABLA YA KUSIMIKWA KAMA SHY ROSE BANJI ALIVYOSIMIKWA KULE NANIHII... UNAJUA TIMU YENU YA 2015 NI YA MAJINIASI TU. ANKAL MITHUPU NI WAZIRI WA HABARI, KANUMBA STIVINI WAZIRI WA MICHEZO, NABII YOHANA MASHAKA RAIS, DAKITARI SHAYO WAZIRI MUKUU, WEMA SEPETU WAZIRI WA ULIMBENDE. ANKAL MISUPU, UNAJUA MIMI NA WEWE TUMESOMA CHUE CHETU KITUKUFU CHA CHUO KIKUU CHA KULE MUZUMBE CHA KULE MOLOGOLO, ULIKUWAGA MUTU MAKINI SANA, NA KAMA UNAVYOJUA HATA MIMI NILIKUWAGA MOTO WA KUOTEA MBALI, TUKIWA NA STERINGI WA FIRAMU TANZANIA, THE GREAT STIVINI KANUMBA, JINIASI NABII MTAKATIFU YOHANNA MASHAKA WA WOSTIRITI, MKUU WA NBA HASHIMU THABITI WA D-LIGI NA PIA DAKITARI HIDEBANDI SHAYO SASA SIJUI UNABIANGA KOMENTI ZANGU MKUU. NILIWAHI TU KUSEMA KWAMBA SIKU HIZI GLOBU YA JAMII INABOA KUTOKANA NA PICCHA ZA TBL NA VODAKOMU, ILA BASI NIMEHACHA KUWAKANDIA KUTOKANA NA SHINIKIZO LAKO MKUU.MIMI NATAKA GLOBU YETU IRUDI KWENYE HADHI YAKE YA KUSISIMUA YA WAKINA NABII NA KANUMBA BWANA, WALE UNAJUA UKIWEKA SIKU HIYO HATA KIPOFU ATASOMA GLOBU YETU, SIKU HIYO HATA KIZIWI ATASIKIA, YANI UKIWEKA DAKITARI SHAYO, KANUMBA NA NABII YOHANA HATA NA NABII TITO, SASA UKITAKA KUONA MUAMSHO WA KARNE MPYA MUWEKE PROFESA PETER NALITOLELA UTAONA UHAMASISHAJI MKUU WA KAYA
    MTIIFU.PETER NALITOLELA WA GLOBU YA JAMII

    ReplyDelete
  2. kila la kheri Ndugu yangu Mungu akuzidishe Maarifa Unakuwa kaka tunakutegemea watu wako Mahsen

    ReplyDelete
  3. HAPPY BIRTHDAY RIDHWAN, GOD BLESS.

    ReplyDelete
  4. Happy Birth day Ridhiwani...
    Ila umefanana na Maulid wa kitenge....

    ReplyDelete
  5. mbona wote wamefanana, ni mapacha hao

    ReplyDelete
  6. Yaani watoto wa raisi wamefanana na baba yao sana...Duhhhh ...Alivyokua kijana ilikua si sana lakini the more anakua baba na the more anafanana na baba yake

    ReplyDelete
  7. WOW!! NICE COUPLE, NAPENDA ALIVYO NA MKEWE, SOOO LOVELY, SIKUJUA KAMA WANA MTOTO TAYARI!!! NAONA MAMBO MBIO MBIO, HARUSI SI JUZI TU JAMANI? AU NDIO WASHAENJOY UJANA, MAANA WAKIANZA KUJA HAWA JAMAA NI KASHESHE. ANYWAY ALL THE BEST, MMEPENDEZA SANA, BIRTHDAY BOY COPY YA MHESHIMIWA, UTAFIKIRI MAPACHA!!! SOO LOVELY.

    ReplyDelete
  8. US BloggerApril 17, 2010

    US- Blogger)
    Kwanza hongera Ridhiwani
    Kusema kweli nakubaliana na Peter Nalitolela wa Muzumbe ya kule mologolo kwa mba Nabii tumemmisi sana.

    Kusema kweli, Nabii Yohana Mashaka anachangamsha hii globu, akiwekwa hata kwa siku moja, globu inapendeza sana hasa kwenye mabishano endelevu ya wadau.

    Michu, tunaomba basi unampaga nabii hata nafasi kutuchangamsha hata mara moja kwa mwezi. ni muda mrefu sana sijamuona na kama vile ninawashwa kwa maana hakuna wa kupingana naye, humu ndani vichwa ni kama vya nalitolela, kwa hiyo sina wa kubishana naye au mwenye mada za maana

    Ikishindikana ufungue mada zake za zamani ili tuyajadili tena kwa maana taifa ni endelevu vile vile

    US-Blogger

    ReplyDelete
  9. Nabii TitoApril 17, 2010

    Mimi nabii tito nampongeza Ridhiwani, ila tu namuomba aoe wanawake wengi, ndo tuendelee. Usisikie ya wakina Nalitolela waliolewa, wanakunywa bila ya kipimo

    ReplyDelete
  10. @peter nalitolela, haki ya nani we msomi wa muzumbe au profesa wa muzumbe tunakuhitaji sana, sina mbavu. @michuzi, bwana tuletee makala za jon mashaka, ni kweli zinachangamsha jamvini hizi picha zimeanza kutuboa, kidumu globu ya jamii

    ReplyDelete
  11. we peter nalitolela umepinda kinoma yani huko mzumbe ya kule mologolo walikoma enzi zako tuhitaji picha yako tukuone tuu, happy besdei ridhwani mwanao bonba kweli

    ReplyDelete
  12. Prof. Peter Nalitolela wewe kiboko.

    Nabii Tito tafadhali leta mahubiri mapya ili waumini tukisikie.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  13. Too local!!!!!

    ReplyDelete
  14. Hapo Kitenge mbona hukutoka kama kawaida yako?hata casual tu huwa wapendeza lakini leo mhhhhh.... sijui ulichelewa kualikwa au ulifukuzia bila kualikwa!

    ReplyDelete
  15. Us blogger number three,

    Kwanza napenda kujitambulisha kuwa mimi ni US blogger number 3, kuanzia leo nitapeleka mashambulizi mbele kumtetea Rais mtarajiwa John Mashaka a.k.a Obama wa bongo 2015

    Hongera Ridhiwani, Urais wa TZ sio wa kuridhiwa hivyo sisi Wananchi tunamtegemea mkombozi-messiah John Mashaka 2015

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...