mdau James na mai waifu wake Jacquiline wakipozi baada ya kumeremeta wikiendi hii katika kanisa la chuo kikuu cha uiniversity of Dar es salaam. Bw harusi anapiga boxi Citi Bank na Bi harusi ni graphic designer wa Daily News
maharusi na wapambe wao
bi harusi hewani
maharusi na familia zao
maharusi na wafanyakazi wa Citi Bank kwenye
mnuso wao ukumbi wa Mlimani City Conference Centre
maharusi na wadau wa Daily News na HabariLelo






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Hongera mwanaseminari(HP)!Inapendeza.
    Wilson Shailla

    ReplyDelete
  2. Jullie MgondahApril 18, 2010

    Hongera ba'mdogo n sorry i missed ur big day. Ma'mdogo, welcome to the family. Mmependeza.

    ReplyDelete
  3. Hongera Ruta.

    Your fellow Intern at Citibank

    ReplyDelete
  4. mmependeza sanaaaaa, nimeipendamnywelie ya Bibi harusi. naomba uniambie ni SALOON gani umetengeza hiyo nywele pliiiiiz.
    THANX

    ReplyDelete
  5. hongereni saaana maharusi mmependeza sana mna mvuto wa ukweli Mungu awasaidie muitunze ndoa yenu kwani ndoa ni bidhaa adimu

    ReplyDelete
  6. Hongera sana mdogo wangu Jack.Nakutakieni maisha mema yenye furaha tele wewe pamoja na mumeo.

    Joyce
    Classmate Magogoni

    ReplyDelete
  7. Bibi harusi akibebwa hewani nani huwa na haki ya kukamata maeneo ya kati?

    Hongereni, mumependeza sana.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  8. Hongereni sana Jacq na James...Jacq asante kwa kuongezea kwenye club yetu TSN...mmetoka mchichaaa, hasa nywele bibie!


    @US Blogger...si unaona kashikilia mwenyewe!

    ReplyDelete
  9. hongera sana james and jack the simply J's family ipo poa sana.... nimefurahia sherehe was mmwaaaaaa mmetoka safi na pia ilikuwa nzuri sana........ be blessed much
    Amani Maro(schoolmate-Lutheran Jr Seminary Morogoro)
    NB: Braza Michuzi uliwakilisha sana aminia and libeneke lisonge mbele zaidi..........

    ReplyDelete
  10. Hongereni James na Jacq, kwa kweli mlimeremeta sana! Tunaomba Mungu awape maisha ya furaha na amani.

    Albert Ngusaru

    ReplyDelete
  11. Hongera sana bwana Das na Bi harusi. Mungu aibariki ndoa yenu iwe ya Furaha na amani tele. Furaha (Kurumbizi wa kayanga)

    ReplyDelete
  12. 我們愛您 /我们爱你 我们爱您 我们爱你
    Karibuni China.

    Inshaaaaalah Mnyaaaz Mungu awajaaalie maisha mareeeefu na ya amani ndani ya ndoa yenu.
    The NEXT one after Samora is mine.

    Regards
    MGONDAH, Jordan

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...