JK akiongea na wanahabari juu ya faida za mkongo wa mawasiliano (fible optic cable) siku alipozindua kituo kikuu cha wasambazaji wa huduma hiyo Seacom huko Kunduchi jijini Dar mwzi Agosti mwaka jana. Haya na mengi mengineyo unayapata katika channel ya Youtube ya Globu ya Jamii.

BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. hapa Kikwete ana prove kuwa ni mwalimu mzuri sana wa kuweka mambo sawa hata mbumbumbu anamwelewa. Poa JK

    ReplyDelete
  2. sahihisho kidogo: Fibre Optic Cable (sio fible).

    ReplyDelete
  3. Wow that is real progress, ila mimi swali langu moja, sasa tutfaidije hiyo fibre optic internet kama hata umeme wenyewe wakuendeshea computer hamna?!?? mammbo kutwa ration au hamna kabisa sehemu nyingine,ni muhimu kwanza JK apambane na Tanesco, watatue more effective ways of producing umeme ndo tuweze kufaidi haya maendeleo ya kitekenolojia...mdau

    ReplyDelete
  4. Haya maneno yalisemwa mwaka jana na Mheshimiwa Rais, sijui maendeleo yake yamefikia wapi? Manake maneno bila vitendo ...

    ReplyDelete
  5. huu mkonga/mkongo mbona haufiki mikoani???
    na hatujaona speed wala nini

    ReplyDelete
  6. I was very excited with explanations from our President.His brain is very smart as he has explained all facts about the advantages of fiber optic cables in communication,as if he is professional on that.

    I believe that the Minister could not explain the facts the President did.This president is right for Tanzania at this period.Thanks GOD for giving us such a president.
    LONG LIVE MR PRESIDENT KIKWETE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...