Balozi Ombeni Sefue(shoto) akiwapa tour ya jengo jipya la ofisi za Ubalozi za Tanzania Marekani katika jiji la Washington DC kamati ya bunge mambo ya nje,ulinzi na usalama
Mkuu wa msafala Mh.Wilson Masilingi akitia saini kwenye kitabu cha wageni.


Kutoka kushoto Afisa Balozi Suleiman Saleh,Mkuu wa msafala Mh.Wilson Masilingi,Mh Juma Hassan Kilimbah mbunge kiti(CCM),Mkurugenzi msaidizi na katibu wa kamati,Theonest Ruhilabake na Khalifa Suleiman Khalifa Mbunge kiti(CUF)


Mh. balozi Ombeni Sefue na afisa wa ubalozi Suleimana Saleh (kuume) na kamati hiyo




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Prof. PETER NALITOLELAApril 13, 2010

    WAJAMENI WANAZUONI WA KUTOKA CHUO KIKUU CHA UNIVESITI CHA KULE MOLOGOLO CHA MUZUMBE, NI KWELI MNASIKIA HARUFU CHAFU CHA UFISADI HUMU NDANI?? AU NABII TITO KALENDA HARUFU CHAFU YA NGURUWE ANAOWALA, AU NI POMBE ANAZOKUNYWA, AU NI WANAWAKE WENGI ALIONAO, BWANA HUMU MIMI CCJ NDO MSWANO KWA SABABU JK AMEKATAA KUNIPA UWAZILI, BASI NA CCM IMEINGIA CHOONI. NABII TITO, BASI TUTABIRIE NANI ATASHINDA URAIS, SIXI WA CCJ AU JK WA CCM. MUKISHINDWA TUTAWALETA ANAKAL NA KANUMBA PAMOJA NA NABII MASHAKA WALIONGOZE TAIFA LA TANZANIA HAPO 2015, MIMI NIKIWA WAZIRI MKUU WA KWANZA KUTOKA MUZUMBE CHUO KIKUU CHA UNIVESITI CHA KULE MOLOGOLO KILAKALA.
    MUZUMBE JUU, JUU, JUU ZAIDI

    ReplyDelete
  2. Jamani si tuliambiwa Mheshimiwa Balozi kahamishwa Washington na Mama Majar ndio anakwenda kuchukua nafasi yake, imekuwaje tena au muda bado???!1

    ReplyDelete
  3. Hilo jengo hata sherehe ya kukata utepe watanzania tunaoishi DC, MD na VA hatukujulishwa! Angalau tungeliona kwa nje. Uongozi wa Jumuiya yetu haya sijui rais nani na katibu nani. Baadhi yetu tulijiandikisha email na namba za simu lakini hakuna hata jambo moja linatokea hapa DC tukajulishwa kama wanajumuiya kama huna shoga hao ubalozini au kuafahamu viongozi wa jumuiya au si mnywa bia wa kwenda kwenye vilabu kila Friday to Sunday hakuna utakalolijua. WE NEED CHANGES, WE HAVE INTELLECTUALS IN ALL FIELDS NA WENGI WANAFANYA KAZI ZA MAANA KWENYE OFFICE NYETI LAKINI HAKUNA USHIRIKIANO WALA KUSAIDIANA. KUNA WATOTO WETU WAPO COLLEGES THEY ARE EXCELLING NA NI WAKATI WA KUIMARISHA UMOJA ILI TUSAIDIANE BADALA YA KUKAA NA KUJADILI MAJUNGU OOH FULANI ALIVAA KIATU CHA ELFU MOJA MIWANI YA MIA TANO JUZI KWENYE PARTY! WE HAVE RESPONSIBILITY FOR OUR NATION AND OUR KIDS LETS GET TOGETHER NA KUJIKWAMUA NA MATATIZO YALIYOPO NYUMBANI HAMNA ATAKAJENGA NCHI NI SISI WATANZANIA!

    ReplyDelete
  4. Annon. wa hapo juu unamawazo mazuri sana...ila hayako feasible kwa waTZ..
    Ila kukusaidia mawazo ni kwamba labda tuanzishe chama/association nyingine ya like-minded people independent of the current one which is infested with "Uswahili" and does not have visionaries with discipline... Trust me tupo waTZ but unfortunately it seems almost impossible to organize ourselves cause
    1. We lack leadership- including an embassy that has it's own agenda, functions and job descriptions for the diplomats sent to the USA by the government

    2. Our Mentality or mindset is not tuned into volunteerism or sacrifice for our country as TZNs first then to us as Africans ...we do not grasp the concept of investing now for the future either

    3. Sijaona watu WAONGO NA WANAFIKI kama WATANZANIA... in everything especially economic ventures or development affairs.....they can never shoot straight even if their lives depended on it...

    4. We never learn. Even from experiences or from others. Mataifa mengine yana pata maendeleo kwa sababu kuna VISION, UAMINIFU, ADABU, ACCOUNTABILITY for actions no matter how small, SACRIFICE and so many positive qualities

    I could go on with why we as Tanzanians CAN NOT DO but WE COULD TRY ....US the few who share a common vision for our country and eventually our selves..let us consolidate our efforts in small groups eventually we will make a difference I believe, hope and pray....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...