Imetimia miaka Miwili leo tangu Mwenyezi Mungu alipo amua kukuita. Haupo nasi kimwili lakini daima u mioyoni mwetu. Endelea kupumzika kwa amani hadi tutakapokutana tena Amen.

Unakumbukwa daima na mke wako Elizabeth Anthony Njeje, Watoto wako Aninziye Njeje,
Luseshelo Njeje na Fredy Njeje. Pia wajukuu zako Anthony na Alvin Shikunzi, na wengine wote. Pia Wakwe zako ndugu jamaa na marafiki kwa pamoja sote
tunakukumbuka

REST IN PEACE DADY.
AMEN.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. TUTAKUKUMBUKA DAIMA MZEE NJEJE,UMEACHA PENGO KUBWA SANA NA SI RAHISI KUZIBIKA KATIKA FAMILIA,UPENDO NA UCHESHI WAKO BINAFSI NAVIKUMBUKA SANA,TULIKUPENDA LAKINI MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI UPUMZIKE MAHALI PEMA PEPONI.AMINA. Msaada;Nimepoteza mawasiliano na Aninziye toka nimekuja masomoni mimi Willey(Beatrice) mwakatobe2001@yahoo.co.uk

    Birmingham.UK

    ReplyDelete
  2. Shy-Rose BhanjiApril 17, 2010

    R.I.P Njeje..NMB bado tunakukumbuka sana kwa uchapakazi wakona ucheshi wako!Mungu alikupenda zaidi.

    ReplyDelete
  3. Luseshelo au Anthony tafadhari naomba tuwasiliane email yangu ni mwakatobe2001@yahoo.co.uk

    Willey,
    Birmingham, UK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...