Home
Unlabelled
Loleza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Neema Ngwilulupi malecela( mke wa william malecela ) mkazi wa NEW YORK kasoma hapo .
ReplyDeleteLa hasha hapo Langoni panahitaji makeover, Sina uhakika huko mabwenini kutakuwa kunafananaje!
ReplyDeleteMarehemu Rhoda C Msuya, mke wa waziri mkuu mstaafu mheshimiwa Cleopa D msuya,
ReplyDeleteMarehemu Ezerina Mwaipopo Malecela, Mke wa Waziri Mkuu/Makamu Mwenyekiti wa CCM mstaafu Mheshimiwa John S Malecela,
Marehemu Mary Hankok, Mwalimu mkuu wa kwanza wa shule hiyo, na baadaye kushika nyadhifa kwenye serikali
Mrs Tabitha Siwale Waziri wa Elimu mstaafu, Waziri wa Ardhi mstaafu.
Mheshimiwa Mary Nyoni Katibu Mkuu Wizara ya Afya.and the list goes on and on. Ni wengi mno walio maarufu walisoma hapo ambao wameitumikia nchi kwa muda mrefu sana,na kwa upande waliofuata nyayo ni wengi mno ambao wameshika nyadhifa mbalimbali kwenye Mashirika ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali.