Asha Baraka na Steve Kanumba wakinadi Lovely Gamble

Salam Ankal na wapenzi wa filamu Tanzania,

imebakia siku moja tu kufikia uzinduzi rasmi wa filamu ya £ovely Gamble inasosubiriwa kwa hamu sana na washabiki wote. Uzindinduzi huo utafanyika Club Billicanas kesho Jjumatano 28.4.2010. Pia kutakuwepo na live show ya baadhi ya wasanii wakiwepo Dully skyes, Bendi ya Twanga Pepeta
pia kutakuwa na Red Carpet treatment.

Utaweza kupata nafasi ya kukutana Macelebrtity mbalimbali akiwepo Steve Kanumba mwenyewe aka The great aka Sultan pamoja na best up coming actress from Uk Mecky Macha ambao ndio mastelingi kwenye filamu hiy.

Mgeni Rasmi atakuwa Allan kalinga ambaye ni mmoja wa ma Executive Producer wa Movie ya lovely Gamble.

Bonyeza chini kuangalia official soundtrx ya movie
http://www.youtube.com/watch?v=s69qyV3pXKo
Nyote mnakaribishwa,
Urban Pulse

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...